Hela ya mwanamke huliwa na nani?

Hela ya mwanamke huliwa na nani?

Southern Giant

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
918
Reaction score
1,875
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi, hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
Jaribu kuwa mganga wa kienyeji utakula pesa zao kwelikweli.
 
Ndugu zake upande wa kwao, kujenga kwao, wauza viatu, simu na nguo.

Cha ajabu wanalamika wanataka 50/50, ila 50/50 yao si kwenye kipato chao.

Ndio maana kuna wengine wanaamua bora wakae nyumbani, sababu umuhimu wa kipato chao hauonekani kwenye familia.
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
Wauza fashion, mafundi nguo, masonara, wauza mikoba, wasusi, wauza mikufu na wauza vipodozi, ndio walaji wakubwa wa hela ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom