hahahahaaaaaaa watu wanafanya field huku njaaa inabamizaa....!!! Mwendokasi noma!!!njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hivi hizi hela za field zitatoka lini ? Mwanzoni tuliahidiwa kuwa jumanne ya wiki hii zitatoka ila hazikutoka na siku za field ndio hivyo zinazidi kupita.Serikali ilitangaza kusogezwa mbele field mpaka 8/8/2016 ila hiyo tarehe ishapita na bado hakijaeleweka.
Wakuu mwenye updates za hela hizi za field atujulishe hapa.
Mkuu wewe umesoma mpaka level gani?. Uwezi kutuambia eti secondary tuliishi vipi, kule tulikua tunapikiwa Ugali na Maharage kila siku, na tulikua tunalipa Ada 70000/=.Sikilizen kwa makini wadogo zangu
1.Nimesikia sikia eti mnampango wa kugoma,kunatofauti kubwa sana kati ya makubaliano yenu wanafunzi na loan board msijarbu huo mchezo ni hatar sana mta disco maana kukosa hela ya field alafu ukagoma kufka ni kwenda kinyume na agreement yko na chuo chako.
2.Mama Ndichako sio kwamba hajui hamjapewa pesa ila kuna uhakiki unaendelea inabd muwe wavumilivu wadogo zangu swala lenu linafanyiwa kazi na hyo ni haki yenu lazma mpewe
3.Wakati mnasoma advance kuna mtu aliwapa hela ya field au mlikuwa mnaendaje shulen njia zile zile jarbun kuzitumia ziwaboost hizi cku mbili tatu kuliko kuharbu elimu ambayo ishakuwa ngumu ktk nchi hii
4.Cha kushangaza kabsa mkipewa hela sasa vituo vya field hamfk mnaishia kulewa na kufanya inshu za ajabu (sio wote lakn).Hili ni somo lazma mjifunze kufanya bajet na mkumbuke kuna kupigika na kukosa kitu
kabla hata hujaenda mbali ww ni ccm kama nape ww chenga k ww ungekuwa ww ungeandika utumbo huuSikilizen kwa makini wadogo zangu
1.Nimesikia sikia eti mnampango wa kugoma,kunatofauti kubwa sana kati ya makubaliano yenu wanafunzi na loan board msijarbu huo mchezo ni hatar sana mta disco maana kukosa hela ya field alafu ukagoma kufka ni kwenda kinyume na agreement yko na chuo chako.
2.Mama Ndichako sio kwamba hajui hamjapewa pesa ila kuna uhakiki unaendelea inabd muwe wavumilivu wadogo zangu swala lenu linafanyiwa kazi na hyo ni haki yenu lazma mpewe
3.Wakati mnasoma advance kuna mtu aliwapa hela ya field au mlikuwa mnaendaje shulen njia zile zile jarbun kuzitumia ziwaboost hizi cku mbili tatu kuliko kuharbu elimu ambayo ishakuwa ngumu ktk nchi hii
4.Cha kushangaza kabsa mkipewa hela sasa vituo vya field hamfk mnaishia kulewa na kufanya inshu za ajabu (sio wote lakn).Hili ni somo lazma mjifunze kufanya bajet na mkumbuke kuna kupigika na kukosa kitu
Hakuna shida nadhani hata qualification za kuwa chuo hauna,Ngoja list itoke ndio tutakuwa tunaongea na wana zuoni wa ukwelikabla hata hujaenda mbali ww ni ccm kama nape ww chenga k ww ungekuwa ww ungeandika utumbo huu
huna lolote nenda mwanza kwenye mkutano wa ccmHakuna shida nadhani hata qualification za kuwa chuo hauna,Ngoja list itoke ndio tutakuwa tunaongea na wana zuoni wa ukweli
Hakuna shida kagome sasa kwenda fieldhuna lolote nenda mwanza kwenye mkutano wa ccm
Ccm itaendelea kutawala tu dogo hadi kifo kitakapo tutenganisha ila kama kweli we mwanaume umepita na JKT kagome uone cha mtema kunihuna lolote nenda mwanza kwenye mkutano wa ccm
siyo jkt mpaka nimepita kwa matanga mbushi siwezi kuwa mtumwa wa chama cha ccm dawa yenu inakuja mnatupelekesha mnafikili ukomo haupo soon nchi hii itapata ukombozi by couptantCcm itaendelea kutawala tu dogo hadi kifo kitakapo tutenganisha ila kama kweli we mwanaume umepita na JKT kagome uone cha mtema kuni
Usivuke Mipaka dogo unaweza kudhibitsha unachokisema? Unajua tayar upo kwenye mashtaka ya kupanga tukio la kijasusi watch out maneno hayo naweza kukubadilikia dk mbili hz unadhan upo rum mwenyewe...siyo jkt mpaka nimepita kwa matanga mbushi siwezi kuwa mtumwa wa chama cha ccm dawa yenu inakuja mnatupelekesha mnafikili ukomo haupo soon nchi hii itapata ukombozi by couptant