Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,304
- 14,914
Bullish in control of the market, the formation of pin bar candlestick at the key level indicates bullish continuation, don't estate execute the order with emergency stop loss few pips below signal (pin bar) and profit target 1:3...sijutii kukesha miez 8 na vtabuView attachment 1964630
Hakika mkuu, Ina maana tuwe na moyo wa kupenda vizazi vyetu tulipe gharama kwa ajili ya kizazi Cha pili na ikiwezekana Cha tatu, watu wengi wanafikiria pesa za kuspend ovyo za wasanii wa mbele zimetafutwa Leo, wale ni wasanii waliozaliwa kwenye mataifa ambayo Babu zao walilipa gharama kubwa kabisa, na wao hawajainjoi hizo Raha zilizopo Leo, wao walitembelea magari ya wakati ule , ndege za wakati ule n.k hawakudhani Kuna siku mtu ataendesha gari yenye t.v ndani,Nunua hisa wakati ule Ipo.
Nje huko kwa wenzetu Kuna watu wamekaa tu hawafanyi kazi Ila kazi Yao ni kula gawio ambalo their forefathers walipanda.
Acha mawazo uvivu, ukiwa na pesa ndio usingizi hauji. Pesa nyingi huondoa muda wa kupumzika.Hapo 50M inakupa 4m kwa miezi mitatu, toa 10% ya Jamhuri unachukua 3.6m sawa na 1.2m kwa kila mwezi bila kelele. Ukiwa na 100M unachukua 8M kwa miezi mitatu toa 10% ya Jamhuri unabika 7.2M sawa na 2.4M kwa kila mwezi, yaani unalala na kuamka saa sita mchana
Mchapa kazi akaunti yako ina Tsh ngapi?Acha mawazo uvivu, ukiwa na pesa ndio usingizi hauji. Pesa nyingi huondoa muda wa kupumzika.
Nimeipenda hii mkuu. 50M unapata kitu kwa mwaka like 4.625M kwa mwaka. Sijui ni nyumba gani ya kukulipa hivi. Ila toa perse ya inflation.
Afu 10% Withholding tax
Labda kama hizo pesa hazina kazi,na mvivu.Yani 300M upate 60M,wakati iyo 60M unatengeneza kwa mwezi kwa huo mtaji.
Nunua hisa wakati ule Ipo.
Nje huko kwa wenzetu Kuna watu wamekaa tu hawafanyi kazi Ila kazi Yao ni kula gawio ambalo their forefathers walipanda.
Ila hisa ni nzuri kuliko bond.
Hisa lazima uwe na elimu ya uwekezAji otherwise umtumie certified financial advisor aka cfa huko nje wako kabisa. Akushauri stocks za kununua.
Ila bonds hazihitaji elimu kubwa Sana.
Mfano jiwe angewepo ma ungejua Sera ya nchi mtu unanunua hisa za air Tanzania later huko after 50yrs tuna ndege Kama Emirates or klm Kama sio air Lufthansa.
Check mfano hizo za Amazon now twenty years,Ila bond bado Sana zitasubiri kwa stocks or kwa trading.
Bond haupati hasara labda inflation Ila shares shirika likifanya vibaya hisa value zinashukaUnaongeleaje impact ya share na bond hasa pale shirika/ kampuni inpofanya vibaya na bei ya hisa zake kushuka?
Bond haupati hasara labda inflation Ila shares shirika likifanya vibaya hisa value zinashuka
umenifanya nijute mjengo wangu wa 40m mwaka sasa sijaupangisha. kodi ndogo naona bure niweke mlinzi tu. Hii ni ya kufanyia kazi aiseeNimeipenda hii mkuu. 50M unapata kitu kwa mwaka like 4.625M kwa mwaka. Sijui ni nyumba gani ya kukulipa hivi. Ila toa perse ya inflation.
Afu 10% Withholding tax
Usijutie kiongozi. Mana hela ni shetani. Binafsi kabla sijapata hela unakuta tayari inapoenda pa kwendaumenifanya nijute mjengo wangu wa 40m mwaka sasa sijaupangisha. kodi ndogo naona bure niweke mlinzi tu. Hii ni ya kufanyia kazi aisee
Ila mkuu kila biashara ama kazi ama kila kitu ni risk na usitake risk Bora ukae tu usifanye chochote. Life is a poker.Hicho ndio nililenga kwamba waambie wakati wanafurahia Amazon, vile vile inawezatokea wakala hasara kutokana na mwenendo kampuni ulizonunua share/ hisa.
Ila mkuu kila biashara ama kazi ama kila kitu ni risk na usitake risk Bora ukae tu usifanye chochote. Life is a poker.
Good outcome doesn't depend good decision. Waweza kuwa na bad decision ukaishia kupata outcome nzuri,pia waweza kuwa na good decision ukaishia kuwa na bad outcome.
So don't try to be deceived by hindsight decision