ikhlas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 1,097
- 1,432
Wadau! Nimeshtushwa kwa kiasi kikubwa kwa jinsi uzi wenye kichwa cha habari cha"Maombi ya nafas za muda za ukarani wa sensa"Unavyotembea kwa kasi ya ajabu kuanzia comments mpaka views ,kuliko ule uzi pendwa kwa hapa JF wa "Ushawahi kula tunda kimasihara",Hii ina maana gani?
1.Hela ni muhimu kuliko mapenzi?
2.Maisha Yakiwa magumu mapenzi hayana nafasi?
3.Watu hupenda zaidi kazi kuliko mapenzi?
4.Watu wapo bize kutafuta hela kisha ndo warudi mapenzini?
5.Au makarani mpo bize kutafuta makoloni mapya kupitia kazi ya ukarani wa sensa?
NB.Tujiandae kujesabiwa watanzania