Sawa wakutanta,ila tuambia kama sii timu sgangNimekusoma na kukuelewa vyema leo ulipokuwa singida ,umeonyesha ni namna gani serikali iko pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi kwa kuondokewa na askari wake.
Pia kauli hii inahitimisha kelele dhidi ya Saimon Siro za wanasiasa waliojificha kwenye uhanaharakati kupata somo la kile wanachifikiria kama ajali wanayoitengeneza kwa kamanda makini Simion Siro
Mwambie akina Hamza wako wengi ajiandae!Nimekusoma na kukuelewa vyema leo ulipokuwa singida ,umeonyesha ni namna gani serikali iko pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi kwa kuondokewa na askari wake.
Pia kauli hii inahitimisha kelele dhidi ya Saimon Siro za wanasiasa waliojificha kwenye uhanaharakati kupata somo la kile wanachifikiria kama ajali wanayoitengeneza kwa kamanda makini Simion Siro
Nimekusoma na kukuelewa vyema leo ulipokuwa singida ,umeonyesha ni namna gani serikali iko pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi kwa kuondokewa na askari wake.
Pia kauli hii inahitimisha kelele dhidi ya Saimon Siro za wanasiasa waliojificha kwenye uhanaharakati kupata somo la kile wanachifikiria kama ajali wanayoitengeneza kwa kamanda makini Simion Siro
Hivi Hamza yupo hai?,nijuze,maana nasikia mpaka jana alichelewa safari ,walikuwa wanamtolea ammunitions
KabisaHamuwezi kuelewa makosa yenu mpaka mpango wa Mungu dhidi yenu utumie.
Alikua Somali land hivi karibuni , kile ni chuo madhubuti haswa
Alikua Somali land hivi karibuni , kile ni chuo madhubuti haswa
🤣🤣🤣🤣kuliko tulichonacho pale moshi?