Heko Waziri mkuu kwa kuwatia moyo makamanda wa jeshi la polisi

wakatanta

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
2,593
3,147
Nimekusoma na kukuelewa vyema leo ulipokuwa singida ,umeonyesha ni namna gani serikali iko pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi kwa kuondokewa na askari wake.

Pia kauli hii inahitimisha kelele dhidi ya Saimon Siro za wanasiasa waliojificha kwenye uhanaharakati kupata somo la kile wanachifikiria kama ajali wanayoitengeneza kwa kamanda makini Simion Siro
 
Sawa wakutanta,ila tuambia kama sii timu sgang
 
Nimekusoma na kukuelewa vyema leo ulipokuwa singida ,umeonyesha ni namna gani serikali iko pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi kwa kuondokewa na askari wake.

Pia kauli hii inahitimisha kelele dhidi ya Saimon Siro za wanasiasa waliojificha kwenye uhanaharakati kupata somo la kile wanachifikiria kama ajali wanayoitengeneza kwa kamanda makini Simion Siro
Mwambie akina Hamza wako wengi ajiandae!
 
Ila tuseme ukweli, Jeshi letu la polisi lina vilaza nadhani kati ya majeshi yote huku ndio kuna vilaza wa mwisho.

Kuna siku nilifika kituoni kutoa maelezo fulani yaani yule askari aliyekuwa ananichukua maelezo alikuwa hajui anaandika nini.

Hili Jeshi lijitathimini ni vyema likaingia vyuoni kuchukua vijana wasomi na kuachana na hawa vilaza wanaotumia nguvu kuliko matumizi sahihi ya akili.
 
Idd Amin, alivyokuwa mpishi jeshini alikuwa askari hodari alivyokuwa mkuu wa majeshi tatizo likaanza kuonekana, alivyokuwa rais akawa mtu wa hovyo sana
 
Nimekusoma na kukuelewa vyema leo ulipokuwa singida ,umeonyesha ni namna gani serikali iko pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi kwa kuondokewa na askari wake.

Pia kauli hii inahitimisha kelele dhidi ya Saimon Siro za wanasiasa waliojificha kwenye uhanaharakati kupata somo la kile wanachifikiria kama ajali wanayoitengeneza kwa kamanda makini Simion Siro

kamanda makini simion sirro
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom