ChamaDola
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 3,431
- 2,804
Katika kuunga mkono Sera ya Viwanda,jambo ametoa nafasi hizo ili kuwaandaa vijana hao ili waweze kuitekeleza vizuri Sera hiyo!
Sambamba na hilo,vijana hawa ndio watakuwa wa kwanza kuajiriwa katika kiwanda cha Ngozi,ambacho kipo mbioni kuanzishwa na Mbunge akishirikiana na Diwani wa kata ya Mwanhuzi!
Na ikumbukwe pia,kwa juhudi za Jambo,tayari wana Meatu tuna kiwanda cha Maziwa kilichotoa ajira karibu elfu!
Hatujutii kumpiga chini Opulukwa!
Sana sana tunajuta kwanini tulichelewa!
Mwandishi wa Mbunge!