Heko Lema-Siasa Kispoti Spoti!

English Learner

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
355
355
This News is very interesting to read yourself. For more details visit (Kwa habari zaidi tembelea) Afanaleki mkoani Lindi! Godbless Lema naomba nitilie saini yako kwenye tisheti yangu, pliz! - wavuti

715117116.jpg

Courtesy of Subi Nukta of wavuti - wavuti
 
Huyu jamaa kina anakubalika na ana (Charisma) mvuto ambao amepewa na Mungu mwanadamu huwezi kuondoa hata kwa jik !
 
Huyo jamaa wa kushoto naona amejaa ukurutu kichwani, dah huko Lindi iko kazi
 
Ile hoja yake ya kumshtaki Pinda kwa kulidanganya bunge iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom