Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,402
- 7,567
Mkumbusheni na Mdee pia, mahandaki jimbo ya Kawe imekuwa kama kitu cha kawaida, gharama ya kununua vipuri vya magari inasikitisha,wasipoweka lami basi wapitishe hata greda baada ya mvua.
Kwani Serikali inafanya biashara siku hizi?Fedha ya serikali anasifiwa Lema?
Unakijua unachoongea?Hiyo ni programme ya serikali kwenye majiji ya mbeya arusha mwanza tanga na miji ya kigoma mtwara Dodoma pesa zimetoka
Benki ya dunia, chadema hawawezi kufanya haya, Sabodo aliwapa pesa ya kuchimba Visima Tu hakuna hata kimoja kilichochimbwa pesa yote wakala
Safi Sana, wape ukweliUnakijua unachoongea?
Barabara zote za Arusha mjini zimejengwa kwa mapato ya makusanyo ya ndani (Baraza la madiwani ambao asilimia 99 ni Chadema) ndio wameanua fedha hizo ziende kwenye miundombinu ya Barabara, Shule , Afya nk.
Kuna mradi mmoja wa Barabara uliopo Kata ya Ngarenaro, Wold Bank baada ya kuona matumizi bora ya mapato ya ndani wamehaidi kushuhulikia.
Sasa nyie makinikia ebu tuelezeni hizo fedha za serikali zinazofanya Maendeleo hapa ARUSHA ni zipi?
Kumbukeni pia pato kuu la Almashauri ya Jiji la ARUSHA lilikuwa ni Propart tax, na serikali kuu imeinyanganya halmashauri pato hili, lakini kazi ya Mungu bado inaendelea kwa kazi ya F22
....Hii pongezi ni kwa Mhe. Magufuli na serikali yake. Lema anatoa mafungu?
Mkuu 'PESA YA SERIKALI UNAYOIONGOLEA NI IPI IYO' na wameitoa wapi asee..........Fedha ya serikali anasifiwa Lema?
Acha majunguAcheni hadaa za ajabu ajabu...ujenzi wa barabara ni program maalumu kwa majiji yote nchini
Hii pongezi ni kwa Mhe. Magufuli na serikali yake. Lema anatoa mafungu?
Propart????Unakijua unachoongea?
Barabara zote za Arusha mjini zimejengwa kwa mapato ya makusanyo ya ndani (Baraza la madiwani ambao asilimia 99 ni Chadema) ndio wameanua fedha hizo ziende kwenye miundombinu ya Barabara, Shule , Afya nk.
Kuna mradi mmoja wa Barabara uliopo Kata ya Ngarenaro, Wold Bank baada ya kuona matumizi bora ya mapato ya ndani wamehaidi kushuhulikia.
Sasa nyie makinikia ebu tuelezeni hizo fedha za serikali zinazofanya Maendeleo hapa ARUSHA ni zipi?
Kumbukeni pia pato kuu la Almashauri ya Jiji la ARUSHA lilikuwa ni Propart tax, na serikali kuu imeinyanganya halmashauri pato hili, lakini kazi ya Mungu bado inaendelea kwa kazi ya F22
Na uzuri majiji yote yanaongozwa na upinzani isipokua mwanzaAcheni hadaa za ajabu ajabu...ujenzi wa barabara ni program maalumu kwa majiji yote nchini
Unakijua unachoongea?
Barabara zote za Arusha mjini zimejengwa kwa mapato ya makusanyo ya ndani (Baraza la madiwani ambao asilimia 99 ni Chadema) ndio wameanua fedha hizo ziende kwenye miundombinu ya Barabara, Shule , Afya nk.
Kuna mradi mmoja wa Barabara uliopo Kata ya Ngarenaro, Wold Bank baada ya kuona matumizi bora ya mapato ya ndani wamehaidi kushuhulikia.
Sasa nyie makinikia ebu tuelezeni hizo fedha za serikali zinazofanya Maendeleo hapa ARUSHA ni zipi?
Kumbukeni pia pato kuu la Almashauri ya Jiji la ARUSHA lilikuwa ni Propart tax, na serikali kuu imeinyanganya halmashauri pato hili, lakini kazi ya Mungu bado inaendelea kwa kazi ya F22
Kilio chako amekisikia.Pongezi sana mbunge wetu lema pamoja na Meya wa jiji
ila huku maeneo ya Lollvono larashi kuelekea mtaa wa Manyara kwenye kivuko cha Daraja la wapita kwa miguu Kunaadha kubwa sana ya usafiri hususani katika hicho kivuko hususani ktk kipindi cha mvua wanafunzi wanateseka sana miundo mbuni kama umeme na husuma nyinginezo kama huduma za Afya
Tunaomba mliangalie hili Wakubwa wetu ktk serikali hii,