Heko Lema kwa Ujenzi wa Barabara hadi za mitaa

Heko Lema kwa Ujenzi wa Barabara hadi za mitaa

Tunakupongeza Mbunge wetu Lema pamoja na meya WA jiji la Arusha Calisty Lazaro kwa maendeleo ya mkoa huu.

Tunaona ujenzi WA Bara bara hadi za mitaani ukiendelea kwa mwendo WA changarawe na zile kuu kwa kiwango cha Lami., tunashukuru Sana sasahivi hata vumbi hamna huku mtaani,

Naamini hizi mlizoweka changarawe huku mtaani baada ya miaka 2,itakuwa full lami.
Bavicha hamueleweki.Akiulizwa Mnyika na Halima mdee ,mnasema bunge hajengi barabara
 
Congratulations Honorable Godbless Lema.Najivunia kukuchagua kuwa mbunge Arusha mjini.
 
Waliokuwepo walikuwa wapigaji tu..hakuna jambo linaloshindikana chini ya jua..hongera sana GL
 
VIPI KALE KALE KANJIA KASHAMSI KANAKOPITAI MAIRIVA HADI MAZIWA VIPI KASHATIWA LAMI MKUU? MAANA KITAMBO SANA MKUU SIJARUDI HOME
 
Hiyo ni programme ya serikali kwenye majiji ya mbeya arusha mwanza tanga na miji ya kigoma mtwara Dodoma pesa zimetoka
Benki ya dunia, chadema hawawezi kufanya haya, Sabodo aliwapa pesa ya kuchimba Visima Tu hakuna hata kimoja kilichochimbwa pesa yote wakala
Benki ya dunia ingetoa kama hakuna usimamizi mzuri?
Mbona hamkupewa miaka hamsini iliopita?
Hamkupewa sababu ccm mlijulikana ni wezi.
 
Kawe ina bahati mbaya mbili

1. Imemezwa ndani ya halmashauri ya Kunondoni
2. Mdee hana madiwani wala meya wakumtosha kubadilisha mambo
Kwa hiyo hapo mchawi wa wakazi a kawe ni ccm na serikali yao kisa tuu Mdee ni upinzani,,,shame on ccm
 
Nasikia hata yule wa mtera anajenga bandari kule kwake...
 
Acheni hadaa za ajabu ajabu...ujenzi wa barabara ni program maalumu kwa majiji yote nchini
Kwani hujui majiji yote yanaongozwa na Ukawa? Kwanini hiyo program isitekelezwe wakati maccm yalipokuwa yanaongoza?
 
Back
Top Bottom