Heko kwa waliowekeza kwenye bitcoin

Heko kwa waliowekeza kwenye bitcoin

Much know acha kuishi kwa hisia.
Hii thread nilianzisha mimi haina hata mwezi
Kuweni makini na biashara ya Bitcoin
Nikiwahasa watu kuwa makini na bitcoin
Ila sasa ninaona ni fursa iliyonipita maana sijawahi kununua bitcoin wala kufanya biashara ya bitcoin.
Ningekuwa na bitcoins nisingeanzisha hiyo thread.

Mkuu kuna tatizo kubwa sana hapa nchini la watu kutopenda kujisomea. Madhara yake ndio hayo.
 
Naona bitcoin 1=6,600$ kwa sasa na inazidi kupanda tu aisee hii ni pesa ya kununua.
Kuna nchi moja ulaya inajiandaa na kuachana na matumizi kabisa ya pesa za makaratasi na coin wanataka wahamie kwenye digital money.
Mtu aliyefanikiwa kununua Bitcoin ikiwa hapa...leo hii atakua ni milionea
 
Back
Top Bottom