elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
- Thread starter
- #21
Theoretically mkuu practically sijawahi jaribu labda kuna siku nilitumiwa kidogo sana kwenye wallet nikahamishia mpesa nkaitoaUnnaipata vzur lkn bitcoin
Theoretically mkuu practically sijawahi jaribu labda kuna siku nilitumiwa kidogo sana kwenye wallet nikahamishia mpesa nkaitoaUnnaipata vzur lkn bitcoin
Kwakweli ni uwezo wako tu mkuu na upeo wako wa masuala ya kipesa ya kuangalia kama hii pesa itazidi ungezeka thaman au inaweza anguka mbeleni.MTaji unao hitajika n shingp??
Boss emu tupe muongozo imekuaje kuaje mpaka uka withdraw direct to mpesaTheoretically mkuu practically sijawahi jaribu labda kuna siku nilitumiwa kidogo sana kwenye wallet nikahamishia mpesa nkaitoa
Kwahiyo ulihamisha kwa mpesa au sioTheoretically mkuu practically sijawahi jaribu labda kuna siku nilitumiwa kidogo sana kwenye wallet nikahamishia mpesa nkaitoa
Unakuwa na digital wallet mfano blockchain wallet, huko unaweza kuifadhi bitcoins zako na kuna njia kadhaa za kuwithdraw kama mpesa, paypal japo kwa tz haikubar kupokea ela, kuhamishia bank n.kBoss emu tupe muongozo imekuaje kuaje mpaka uka withdraw direct to mpesa
Boss tayari nina Bitcoin kwa wallet, but I didn't know if there is method to withdraw direct to my mpesa, Recently bitpesa has this service but i dont see it now, Can u give us guidance about it, Coz i usually sell this money to client and they pay it through mpesa but not withdraw direct to my ACCUnakuwa na digital wallet mfano blockchain wallet, huko unaweza kuifadhi bitcoins zako na kuna njia kadhaa za kuwithdraw kama mpesa, paypal japo kwa tz haikubar kupokea ela, kuhamishia bank n.k
Tumia blockchain wallet mkuu au bitwala.Boss tayari nina Bitcoin kwa wallet, but I didn't know if there is method to withdraw direct to my mpesa, Recently bitpesa has this service but i dont see it now, Can u give us guidance about it, Coz i usually sell this money to client and they pay it through mpesa but not withdraw direct to my ACC
Yes haikuwa pesa nyingi mkuu hata lak mbili haikuwa imefikaKwahiyo ulihamisha kwa mpesa au sio
tunajua umeleta hii habari kama chambo kwa samaki.. unapiga bla bla hapa mwishoni useme una bit coins zako unaziuza.. au ujifanye wakala.. utupige kama d9 na deci
Boss emu tupe muongozo imekuaje kuaje mpaka uka withdraw direct to mpesa
Unpataje faida na hiiLeo imepanda tena imefika bitcoin 1=6,874.65$
Aisee yani ni balaa.
Hapo nimeelewa, mtu aliyeanzisha hajulikani kwa sababu alitumia jina la uongo!!! Yaani ikitokea hizo hela umepigwa, hakuna wa kumdai wala wa kumshtaki, hajulikani...Siyo mjuvi sana wa hii kitu ila ni crypto currency, yani ni digital money siyo tangible.
Aliyeanzisha hajulikani maana alijipa jina la uongo.
Inatumika kununua vitu na kulipana kama ilivyo mpesa au tigo pesa.
Sema sasa hii thamani yake imepanda sana kwahiyo wakati inaanza mwaka 2009 haikuwa na thamani, thamani yake ilianza kurekodiwa na kuuzwa mwaka 2010 haikuwa kufika hata 1$, thamani yake kubwa kuwahi rekodiwa mwaka 2010 ilikuwa bitcon moja sawa na 0.39$.
Kwa hiyo mfano ungenunua bitcoin 1000 ungetumia dollar 390.
Leo ungeamua kuziuza ungepata 6,600,000$ ambayo kwa tshs ni bilion zaidi ya 13 za kitanzania
Kwanini inapanda thamani sana?
Jibu ni kwamba jumla ya bitcoins zitakazokuwa kwenye mfumo ni milion 21, ambazo zinajiongeza kwenye mzunguki kila baada ya muda flani.
Mpaka sasa nusu ya bitcoins kati ya hizo milion 21 tayari ziko kwenye mzunguko ikiwa na maana zaidi ya bitcoins milion 10, na nusu bado haijaingia kwenye mzunguko itaingia mwaka 2020.
Bitcoin inapatikana kwa kuichimba kama dhahabu tofauti yake unaichimba kqa kutumia computer, ambapo kila block 1 ni sawa na bitcoin 12.5, na kila siku zinachimbwa kama bitcoin 3,600.
Kama kuchimba huwez unanunua,
Inasemekana kwamba mtengenezaji mkubwa wa software ya bitcoin ajulikanaye kwa jina fake la Satoshi Nakomoto anamiliki bitcoin milion 1.
Hivyo utaona ya kwamba kuna bitcoin chache kwenye mzunguko wakati kila siku wahitaji wanaongezeka.
Utapigwaje sasa mkuu?Hapo nimeelewa, mtu aliyeanzisha hajulikani kwa sababu alitumia jina la uongo!!! Yaani ikitokea hizo hela umepigwa, hakuna wa kumdai wala wa kumshtaki, hajulikani...
Assume umenunua bitcoin moja leo nadhani ni sawa na usd 7000, then ambazo ni milion 14,800,000. Niaubiri baada labda ya mwezi bitcoin iwe imefika 8,000$ nikiamua kuiuza inamaana nitapata 16,000,000 faida milion mbili hapoUnpataje faida na hii
computer yenye nguvu ya nn? internet connection? specifications au computer ya chuma ??Inabidi uwe na pc yenye nguvu kweli kweli kuichimba na saa nyingine inabd muungane watu wenye pc zenye nguvu kadhaa kuweza kufanikiwa kupata hiyo bitcoin.
Kuchimba peke yako unaweza usipate au gharama za kuendesha comp zikawa juu kuliko bitcoin utakazopata.
Yani ni sawa na kuchimba dhahabu unaweza maliza hata mwez hujapata bitcoin ya maana unaishia kupata sitoshi ambapo sitoshi 1=0.00000001 ya bitcoin
Bitcoin inachimbwa kwa kurun computer iliyo connected na internet yenye kurun software flan kwa kutumia algorithm flani, hapo utaona inainvolve kufanta hesabu flani ambazo zinahitaji a powerful pc in terms of processing ili kuweza kumine bitcoin...computer yenye nguvu ya nn? internet connection? specifications au computer ya chuma ??