lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 788
- 380
Enzi za mambo hayo zimepitwa,unawafundisha vijana mambo ya kijeshi then wanarudi mitaani hawana ajira wala mitaji mwishoe wanakua majambazi.
Hakika...ukakamavu bila ajira is nothing but an imbecile