Heko JKT

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
251
natoa pongezi zangu za dhati kwa serikali kurudisha mafunzo ya jkt.. nimeona yapo mengi mazuri ambayo vijana wanajifunza kuliko ilivyokuwa inapotoshwa hapa.. hii ni baada ya kupitia website ya kikosi kinachoendesha mafunzo cha Rwamkomajkt .
jaribu nawe kupitia www.rwamkoma.jkt.go.tz ujionee mwenyewe
 
Kuteswa ni kawaida maana kule tunafundisha ukakamavu sio kupiga jitaa wala kinanda tunafundisha roho mbaya pamoja na nidhamu

acheni kutesa watoto wa watu ukakamavu sio lazima muwatese mpaka wanakufa. hivi mnajua wazazi wao wamewahangaikia kiasi gani? jkt sio salama hasa kwa watoto wa kike
 
Enzi za mambo hayo zimepitwa,unawafundisha vijana mambo ya kijeshi then wanarudi mitaani hawana ajira wala mitaji mwishoe wanakua majambazi.
 
Hakuna zuri hata moja walilojifunza,kuwaumiza tu na kuwakomoa,walienda wadogo zangu wawili tanga,walikuja wanalaani,wanasema km hali ndo ile hawataruhusu watoto wao waende jkt,kuwakeshesha mwez mzma bila kulala,kuwalimisha kwa mikono,wanajifunza nn kulima kwa mikono wakat tekinolojia imebadilika kulima n mashne,hata serikali yenyewe inapgia debe kilimo kwanza na pawa tila,kwa ujumla jkt ni ujinga,mtoto wangu hawez kwenda jkt hata kwa dawa,bora akane uraia,labda wabadili mbinu za mafunzo.
 
Wanaleta stor za jkt kuwaumiza watoto wetu wakat watoto wao wanasoma ulaya na jkt hawaend,sheria inataka vijana waliomaliza kdato cha sita bongo,ina maana inawatoa vijana waliosoma nje ya nch ambao weng n watoto wa vgogo,kwa faida ip ya jkt,kuumiza watoto?huu ni ujinga.
 
halafu hii sheria ya kuwalazimisha form six kwenda jkt imepitwa na wakati,uzalendo upi huo wanaofundishwa wa kusimama na kichwa?au kuruka kichurachura? uzalendo unatokana na fikra na sio mateso ya mwili.
 
uzalendo wap mkuu,mtu hafundsh kupenda kitu chochote,anapenda mwenyewe,et jkt wanafundsha mtu kupenda nch yake,cjawah kusikia,wanawapa mazoez magum,chapa vboko,mwez mzma bila kulala,kupalilia mchana kutwa kwa mikono,eti wanafundsha uzalendo,hawajui hata technoloj imebadilika sana,kulima kwa mkono ni kupoteza mda,alaf ukumbuke watoto wao wanasoma nje na jkt hawaend,kutukomolea watoto,mtoto wangu hawez kwenda kujifunza huo ujinga.
 
Huko JKT inabdi warudi akina Lowasa, Nchimbi, Mwigulu, Kapuya, Rostam nk ili wakafundishwe uzalendo (kama kweli ndo unaofundishwa huko) hata kwa dawa mwanangu wala ndugu yangu simshauri aende JKT!
 
zema21 Nawashauri wawe makini na matumizi ya viuatilifu. Ni vyema watumie vifaa vya kujilinda na sumu. Vinginevyo, baadhi yao watamaliza mafunzo wakiwa na afya mbovu.

cropped-cropped-hea-4.jpg
 
Last edited by a moderator:
zema21 Nawashauri wawe makini na matumizi ya viuatilifu. Ni vyema watumie vifaa vya kujilinda na sumu. Vinginevyo, baadhi yao watamaliza mafunzo wakiwa na afya mbovu.

View attachment 132272

mkuu ,jkt hakuna anayejali afya za hawa vijana,huo ndio uzalendo wanaofundishwa unaohatarisha mpaka afya zao
 
Last edited by a moderator:
mkuu ,jkt hakuna anayejali afya za hawa vijana,huo ndio uzalendo wanaofundishwa unaohatarisha mpaka afya zao

Hakuna uzalendo wa namna hiyo. Hata nchi zilizoendelea, mfano usiyo wa moja kwa moja, Team SEAL, wangekuwa wanaenda kwenye misheni za kizalendo bila vifaa vya kujilinda!

Wanafunzi wa JKT wanastahili kupewa vifaa vya afya. Ni haki yao kisheria. Soma "Plant Protection Act 1997, na TPRI Act 1979."

Wasiwasi wangu ni kama JKT wanawataalamu wa sekta hii ya viuatilifu.
 
nawaonea huruma watoto wa kike maana wanalazimishwa kutoa penzi kwa lazima na ukimwi upo nje nje kule hakufai kabisaa bora niuze nyanya lakini si kule
 
JKT ikisimamiwa vizuri ni swala zuri kwa ajili ya kujenga uzalendo na ukakamavu. Ukiangalia nchi kama Israel wanamfumo wa kupeleka vijana wao jeshini na kwa wanaofahamu Israel raia wake wana uzalendo mkubwa kwa nchi yao.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom