Hekima za Mzee Kikwete

Hekima za Mzee Kikwete

Niliona ujumbe flani mtu wa anajiita 'jesca magufuli' akiwalaumu watu wanamhujumu baba yake akimsema pia ridhwan na baba yake.
 
Mkuu nakuamini kila unachokisemaga,maana we uko ndani kabisa huko ndani unajua kila kitu.

Kikwete ni born town anabadilika kutokana na mazingira.

By the way wapi Gwaji boy?.
Ha ha ha !
Mkuu mimi si chochote wala lolote.
Mwana JF wa kawaida tu mwenye uchungu wa nchi yangu Tz.
Nafikiri Gwaji boy bado anauguza "shock" kama ilivyotupata wengi!
 
Niliona ujumbe flani mtu wa anajiita 'jesca magufuli' akiwalaumu watu wanamhujumu baba yake akimsema pia ridhwan na baba yake.
Siyo Jesca halisi, Koromije boys wameunda kundi bovu la mashambulizi. Wamo kina Paulo, Rashid wa Kawe na Mmilike Tanzanite news paper.
 
Mh huyu kwa usanii alivyomuongelea JPM jana utafikiri walikuwa Identical twins na almaruhum. Akajichanganya pale aliposema akimvuruga JPM alikuwa anaenda kushitaki kwa kaka wa Rais.
 
Ha ha ha !
Mkuu mimi si chochote wala lolote.
Mwana JF wa kawaida tu mwenye uchungu wa nchi yangu Tz.
Nafikiri Gwaji boy bado anauguza "shock" kama ilivyotupata wengi!
Nilimtegemea sana gwaji mkuu ,ila nimekuja kufuatilia kumbe kile kifaa hakisikii maombi,kinaweza hata dukuliwa.
 
Awe mkweli alikuwa hana ujanja baada ya kuvurugana na EL alilazimika hata kama hakutaka atafute turufu iliyoitwa JPM.
Angeweza kuweka yeyote kisha akaiba kura kumshindisha, kwani nani angemzuia?

Pili kwani Magufiuli alimshinda Amina Salum Ali kwenye mkutano mkuu? - Nani aliyeamuru matokeo ya mgombea wa CCM yatangazwe asubuhi badala ya jioni ile?
 
Msianze kumvisha maneno, hotuba ya Kikwete ilikua clear na ameongea ki uchungu sana kwa sisi tunaomjua, nyie waswahili mshaanza speculation zenu za kinafki nafki, muwage na adabu pumbavu.
 
Angeweza kuweka yeyote kisha akaiba kura kumshindisha, kwani nani angemzuia?

Pili kwani Magufiuli alimshinda Amina Salum Ali kwenye mkutano mkuu? - Nani aliyeamuru matokeo ya mgombea wa CCM yatangazwe asubuhi badala ya jioni ile?

Yeyote ambaye angemuweka zaidi ya JPM angekuwa upande wake JK kumbuka uamuzi ulikuwa mwaga mboga nimemwaga ugali tukose wote. Na ndio salama ilikuwa hiyo. Waiba kura wanaweza kukataa kuiba au kuhujumu zoezi la uwizi. Huoni tangazo feki la kumtafuata kigogo.

Kigogo anatafutwa kama vile Osama Bin Laden.
 
Jomba huwezi kuficha chuki zako kwa JK?

Unaona wivu anaposifiwa,siyo?

Fanya mambo makubwa kwa nchi hii ili na wewe usifiwe.
Wapi nimemchukia JK? Uzi wangu unataka wenye AKILI tu ndo washiriki, wewe Mburula umetoka wapi tena? Kuna nyuzi zenu za SIFA NA IBADA nenda kajimwage huko.
 
Yeyote ambaye angemuweka zaidi ya JPM angekuwa upande wake JK kumbuka uamuzi ulikuwa mwaga mboga nimemwaga ugali tukose wote. Na ndio salama ilikuwa hiyo. Waiba kura wanaweza kukataa kuiba au kuhujumu zoezi la uwizi. Huoni tangazo feki la kumtafuata kigogo.

Kigogo anatafutwa kama vile Osama Bin Laden.
Kama Jiwe alivuruga uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu in favor ya CCM basi hata JK angeweza kumuweka mtu wake kibabe kama angetaka, maana mavyombo aliyokuwa nayo Kikwete ndiyo hayohayo yaliyokuwa yakimpa Kiburi Magufuli
 
Nmefurahi kugundua kuwa kwny Kitabu chake uhuni wake wa kuchuja peke yale majina ya wagombea Urais 2015 pia kauelezea kwa kina
JK mwamba kutoka saigoni....hakuna mjinga mjinga anayekulia na kuishi pale Saigoni..

Mwanzilishi na muuaji wa kundi la wanamtandao
 
Back
Top Bottom