Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,107
- 63,391
Bora Mwizi kuliko MuuajiIla mwizi
Bora Mwizi kuliko MuuajiIla mwizi
Mtoto anatafuta pipe huyo yupo free sasaNiliona ujumbe flani mtu wa anajiita 'jesca magufuli' akiwalaumu watu wanamhujumu baba yake akimsema pia ridhwan na baba yake.
Awe mkweli alikuwa hana ujanja baada ya kuvurugana na EL alilazimika hata kama hakutaka atafute turufu iliyoitwa JPM.
Mwizi wa mali ya umma (Escrow Account) ni mbaya kuliko muuaji maana anaua watu na kuharibu uchumi.Bora Mwizi kuliko Muuaji
Kweli MkuuBora Mwizi kuliko Muuaji
Wewe nyumbu unajifanya mzalendo kwenye keyboard lakini mkwepa kodi na jizi la kimyakimyàMwizi wa mali ya umma (Escrow Account) ni mbaya kuliko muuaji maana anaua watu na kuharibu uchumi.
Jk angetaka hata Wewe au Mimi tuwe Ma Rais tungekuwa
Amiri Jeshi tena amiri jeshi mwenyewe Jakaya angeshindwaje?
Kwanza wengi walikuwa wanajidanganya kuwa Jakaya anamuogopa Lowassa na hana Ubavu wa kumkata!
Kwa Kifupi tu jifunze leo kuwa Mbowe ni moja ya Chawa wa Jakaya kama ilivyokuwa kwa kina Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa ambao waliigiza Kupinga Uamuzi wa Kamati kuu iliyomkata Ngoyai
Team Lowassa lia lia wa kweli katika ma Top wa lile vugu vugu alikuwa Hussein Bashe peke yake
Huyu alipinduliwa angalau kwa dakika kadhaa kwa pambio la chama. Ashukuru kulikuwa na turufu JPM.
Mh Rais JMT ni muhimu kukumbuka mambo haya ya kuchangamsha jamvi na kuyazingatia. "Mapinduzi ya pambio."
Mwizi wa mali ya umma (Escrow Account) ni mbaya kuliko muuaji maana anaua watu na kuharibu uchumi.
Naona mnasherehekea maana wataachiwa sasaKasaidie upelelezi ukamilike maana Mzalendo kaondoka bila ya kuthibitisha huo Wizi Mahakamani
Naona mnasherehekea maana wataachiwa sasa
Wezi ni wezi tuSaidia wafungwe kwa kuleta ushahidi wa Wizi wao sio blaa blaa
watu wataelewa sasa Mgeja na wenzake waliposema mwenyekiti kaja na majina yake ya mfukoni....ninachoamini ambacho watu wengi hawaamini, JK alimpigania Magu na sio Membe kama watu wanavyoamini....Jk angeamua kweli kuteam na EL 2015 hakuna ambaye angeweza kumzuia EL, ni JK mwenyewe aliyemzuia EL na ujanja ujanja wake....BWM ni muoga inapofika kwenye fitina maana alitishwa 2005 na akina Jk alipomtaka SASA..Nmefurahi kugundua kuwa kwny Kitabu chake uhuni wake wa kuchuja peke yale majina ya wagombea Urais 2015 pia kauelezea kwa kina
Mkuu hotuba ya mh jk sio ya kitoto,japo mzee wangu mh Mwinyi (mstahafu,) alipinduwa meza japo na uzee wake kwamba kutokana na uzee ameanza sahau Mambo madogo kwamba bi mkubwa,humwambia mwanetu huyu haha, humuhuliza anaitwa nani vile, so dr mh Mwinyi rais wa Zanzibar mzee mtunze mzee KWA kweli ana madini sio ya nchi hii, ukileta mchezo atakusahau na kuniita mie mbatizaji 47 mwanae, japo itakua furaha kwangu na nitakua nimekupiga gep, na nani hapendi kuwa mtoto wa Rais mstahafu, sema tu nafasi hii ni ginyu Sana patikana, mh mzee wangu Mwinyi mungu akupe maisha marefu, so much gifted1. Sijafuatilia kwenye mitandao na kufanya utafiti kujua kama hotuba yake ilipokelewa positively na if yes, ni nini kilifanya ipokelewe hivyo ila kwa MUJIBU wa JK anasema ilipokelewa positively.
2. Swali na. 2 na 3 linaweza kupata majibu kutoka katika jibu na. 1. Thanks