Hekima ya Tanzania, bomba la mafuta

Hekima ya Tanzania, bomba la mafuta

Mkuu with due respect maandiko yako ni propaganda tupu. Hutoi mifano halisi ila unataja nchi kwa ujumla wake tu. Mfano Botswana wanafanyeje? Ghana wanafanyeje nk. Tumeibiwa vya kutosha sana na imetosha sasa.

Mfano Botswana ukija na upembuzi wa mradi wako wa tuseme umepanga kuvuna ounces million 2.5 za dhahabu, ukiwekeza na ukavuna kweli kiasi hicho lakini kulingana na halisi ukawa bado kuna reserve ya kutosha, wanaingia ubia na wewe wa 50 kwa 50. Nakumbuka wakati ukiwa unavuna wakia millioni 2.5 ulikuwa ukilipa royalty na kodi zake kama kawa.

Pia fikiria sisi tunaumiliki wa karibu asilimia 30 mgodi wa almasi mwadui lakini tangu kabla ya uhuru mpaka leo hakuna gawio ni hasara juu ya hasara. Ni upuuzi mtupu kutuambia watakimbia. Wacha wakimbie tutavuna sisi na technology yetu.

Tanzanite inapatikana Tanzania wauzaji wakubwa wahidi, marekani na Kenya. Sisi sijui ni wanne, upuuzi gani huu!

Tunataka haki sawa na mimi.niko mgodini tangu 2005 najua uhuni wote. Sydney wanaandika taarifa nyingi za uongo na uzushi na wanafanya biashara za kufa mtu kwenye masoko yao ya hisa kwa mali zikiwa Tanzania. Transfer price arrangement ndo usiombe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema kuwa mabadiliko ya sheria na mikataba ni kosa kufanyika lakini yafanyike for the better. Mabadiliko yasiache nia ya msingi ambayo ni kuhakikisha tunavutia uwekezaji wenye manufaa. Mambo hayo mawili ni sharti yaende pamoja. Huwezi kupata faida kubwa kwa kuweka urasimu sumbufu. Unatakiwa kuwa mwerevu ili kuhakikisha kuna mifumo efficient lakini isiyoua uwekezaji na lengo lako kuu.

Kutopata chochote kutoka kwenye mgodi wa almasi Mwadui kunatokana na serikali kutojua biashara ya sekta hii ilivyo. Waliowekeza kwenye makampuni ya madini wanapata faida zaidi kwa kuuza hisa na siyo malipo ya dividends. Kama hatukuuza shares zetu, tutapataje faida wakati hakuna dividends zilizogawiwa? Hata kwenye mabadiliko ya sasa kitakachoongezeka ni mapato yatakayotokana na royalty ya 7%, na siyo mapato yatakayotokana na ongezeko la free carried shares la 16%. Unaweza kuongeza mpaka 30% na usipate chochote.

Kwenye transfer ya leseni kwa makampuni unayoyasema, unaweza kunipa mfano hata wa kampuni moja? Nijuavyo mimi, zamani makampuni yalikuwa yanaweza kufanya license transfer baada ya kulipa tu transfer fee lakini kwa sheria ya 2010, license transfer haifanyiki mpaka kulipwe capital gain tax, na anayefanya transfer apate TRA clearance.

Ifahamike kuwa migodi haipatikani bila miradi ya utafiti. Utafiti ni aghali, na unapotafiti uwezekano wa kupoteza pesa ni zaidi ya 90%. Ukimwekea masharti magumu mtafiti, hafanyi maana hakuna anachopoteza.

Makampuni yenye migodi nchini yanalazimika kuvumilia kwa sababu tayari wamewekeza infrastructure isiyoondosheka. Ambaye hajawekeza chochote au hajawekeza kiasi kikubwa kwenye utafiti haoni hasara ya kutokuwepo Tanzania. Wanaoifahamu vizuri sekta hii huweka mazingira rafiki na rahisi sana kwa makampuni ya utafiti maana hayo ndiyo huleta makampuni ya uchimbaji. Masharti magumu ya utafiti yatazuia wawekezaji wa shughuli za utafiti na hivyo tutabakia na miradi ya uchimbaji tuliyo nayo bila ya kupata miradi mipya.

Ikumbukwe kwamba migodi iliyopo inazidi kwenda chini, gharama zinazidi kuongezeka, faida inazidi kupungua, na mwisho itafungwa wakati hakuna migodi mipya itakayokuwa inafunguliwa.

Kuhusu serikali kupata 50 free carried shares baada ya kuchimba kiasi kilichoripotiwa mwanzo wa mradi, sina uhakika kama kitu hicho kipo au hakipo. Nilicho na uhakika nacho ni kuwa kila mining project, serikali huwa na 10% free carried shares na serikali hulipia shares inapotaka kuchukua zaidi ya hiyo 10% kwa taratibu ambazo kampuni na serikali wanakubaliana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika jambo linaloshangaza ni jinsi Tanzania inavyoonesha kushabikia na kufurahia mradi wa bomba la mafuta ya Uganda. Bomba hili la mafuta ni matokeo ya sera za nchi ya Uganda kuvutia wawekezaji katika utafiti na ujenzi wa miradi ya uvunaji mali za asili za Uganda. Ni matokeo ya utafiti wa muda mrefu. Uganda imefanya hivyo kwa kupitia sera, sheria na ushirikiano wa moja kwa moja na makampuni ya nje yanayowekeza Uganda.

Tunafurahia mradi wa mafuta ya Uganda wakati kwetu tunafanya kila jitihada za kufukuza wawekezaji kwa maelezo kuwa tunaibiwa. Tunafanya hivyo kwa kupitia sheria zetu mbovu zinazosimamia utafiti wa mali za asili, uvunaji na kauli za viongozi wakuu. Leo karibu makampuni 160 yaliyokuwa yanafanya utafiti Tanzania yamesimama, lakini yanaendelea kufanya utafiti katika mataifa mengine.

Leo kwa kupitia mabadiliko ya sheria zetu mbovu za Prof. Kabudi, hakuna kampuni ya nje itakayokuja kufanya utafiti wa madini ya Tanzania. Vipengere vinavyozuia wawekezaji kuja Tanzania kufanya utafiti wa madini ni pamoja na:

1) Sampuli za madini huwezi kupeleka nje mpaka upate kibali toka GST. Wenzetu wanapunguza urasimu, sisi tunaongeza urasimu. Sheria hiyo imewekwa na watu wasiojua chochote kuhusu utafiti wakifikiria kuwa madini yanaibiwa kupitia sampuli. Huo ni ujinga wa hali ya juu. Unajiuliza ni dhahabu gani inaweza kuwepo ndani ya sampuli ya 1kg mpaka kuwepo wizi wa madini kupitia sampuli! Hivi unapokuwa na grade ya 15g/t, ndani ya kilo moja ya sampuli? Dhahabu itakayowepo ni 15÷1000=0.015g. Gramu 1 ya dhahabu ni kama TZS 50,000. Kwa hiyo 0.015g itakuwa na thamani ya 0.015×50,000=TZS750. Hivi kuna mwekezaji anayeweza kuja kuiba Tanzania TZS 750 kwa kila sampuli? Sheria kama hii inaifanya Tanzania kuonekana nchi ya wajinga watupu.

2) Majibu ya maabara ya sampuli (database) za mwekezaji yapelekwe GST. Unajiuliza kama walioandika sheria hiyo wana uelewa japo mdogo wa biashara ya madini. Utafiti haumwingizii pesa mtafiti hata shilingi moja. Thamani ya mradi anaoutafiti ipo katika data. Ni data hizi, kama zikiwa nzuri ndiyo anaweza kuuza ili kurudisha sehemu ya pesa aliyotumia au ikarudisha gharama na kumpa faida, au asirudishe hata shilingi 1. Serikali inalazimisha ipate data mapema bure!!. Data ni taarifa ya siri ya kampuni kwa sababu usipokuwa makini ya namna ya kuzitoa zinaweza kuua kampuni kwenye share markets. Lazima hiyo kampuni iwe ya wajinga watupu ili kuweza kwenda kufanya utafiti katika nchi yenye sheria kama hii. Kama watakuwepo, basi ni lazima watapeleka data ambazo siyo halisi

3) Ukiangalia mabadiliko ya sheria ya madini ya Kabudi, ndiyo unapata uhakika ule ukweli kuwa academicians are poor managers and poor entrepreneurs. Wanashindwa kutafsiri nadharia walizo nazo kwenye uhalisia. Mabadiliko yale yanamtaka mwekezaji kutoa 16% free carried shares (nchi nyingi zinapata 0 - 10% free carried shares), mrabaha 7% (inajumuisha inspection ya 1%; Dunia nzima ni Mugabe pekee yake anatoza 7% royalty lakini wao wana corporate tax ndogo kuliko Tanzania. Mataifa mengi mrabaha ni 0 - 5%). Bahati mbaya sana Rais wetu amejenga imani kubwa sana kwa academicians, kuna siku atakuja kugundua kuwa they were WRONG PEOPLE FOR THE RIGHT JOB. By then it will be too late.

Kwa mabadiliko ya sheria ya madini ya Kabudi, tutaendelea kuwa na kampuni ambazo tayari zina migodi Tanzania, lakini hatutapata miradi mipya wala wawekezaji wapya. Leo Tanzania inatajwa kama eneo hatari kwa mitaji ya nje. Baada ya mabadiliko ya sheria ya madini, makampuni yote yaliyowekeza katika eneo hatari la Tanzania, hisa zao katika soko la fedha Sydney yalipoteza 30 - 50%.

Kupanga ni kuchagua, lakini kwa nini tufurahie matunda ya sera nzuri za uwekezaji za Uganda wakati sisi kwetu hatutaki kuwa na sera rafiki za uwekezaji? Leo makampuni ya utafiti wa madini yanaondoka Tanzania yanaenda Kenya, Angola, Mali, Uganda, Amerika Kusini na Asia, halafu baada ya miaka 5 tutaanza kushangilia miradi iliyopo Kenya na Uganda.

Wawekezaji wasipopata madini toka Tanzania, watapata mahali pengine Duniani. Katika dhahabu sisi hatupo katika top 15, lakini kuna mataifa zaidi ya 100 yenye dhahabu. Kwa nickel na iron hatupo hata katika top 20. Katika copper, silver, PGEs hatupo hata katika top 50. Tanzanite inapatikana Tanzania tu lakini hii ni saphire yenye vanadium, saphire ya kawaida ipo mataifa mengi Duniani. Zaidi ya yote ni kuwa tanzanite ni kwaajili ya urembo. Kwa nini tuna fikra kuwa ni sisi pekee yetu?

Dunia inaweza kuendelea bila ya Tanzania lakini Tanzania haiwezi bila ya Dunia. Tufanye jitihada mbalimbali lakini tusisahau tumo ndani ya Dunia yenye kila kitu.
Nimesoma kwa makini asubuhi, nimeirudia tena na tena, nimegundua bado Tanzania hatujaamua kuwa serious au kwa makusudi au kwa personal interest. Hii taarifa yako imenifanya niamini yale niliwaza pale niliposikia kuhusu hili bomba. Na mark my words, hata mikataba ya madini tulianza hivi hivi kwa mbwembwe then leo hii tunawaita ni wezi, kampuni feki, lakini leo hii tena tumajifungia nao ikulu tunakula na kunywa. (Sijui mpk leo imeshateketea shs ngapi kulisha hawa wezi). kuna wakati hili bomba nalo litakuja kuzua mjadala, kuanzia ajira hadi ...! kimsingi limepitishwa kwa interest za mu7 tu basi hakuna chochote kingine kwetu. Tumeacha gesi zetu mtwara baada ya kuwapiga wananchi wetu mabomu, tumegeukia kwa museveni! Asante Bam kwa uchambuzi, it is lecture worthy keeping!!
 
Hivi unajua kama ACACIA waliwasilisha hesabu za kupika TRA kuonesha kuwa wamepata hasara ili wasilipe kodi,wakajisahau wakapeleka taarifa sahihi LSE,ili bei ya hisa ipande?
TRA wakazisoma taarifa zao za kweli kwenye website ya LSE wakapeleka bili ya dola milioni 20 jamaa wakalipa.Unalijua hilo au unaongelea vitu ambavyo vinafurahisha mtima wako?
Ulichokiandika siyo sahihi kwa 100%. Ukweli ni kwamba kila mfanyabiashara anataka kupata faida zaidi. Wapo wanaokwepa kodi kihuni. Wapo wanaokwepa au kupunguza kodi kwa kutumia weledi. Serikali nayo kuna wakati inawatumia watu wake kukukamua kodi isiyo halali, na kipindi hiki kumekuwa na wizi mkubwa wa pesa ya wananchi kupitia mfumo wa kodi. Lengo ni lile lile - kupata zaidi. Leo hii unalipwa mshahara unakatwa PAYE, mshahara unaenda bank, ukitoa kwenye ATM unakatwa kodi, ukitaka kumtumia mzazi wako, ukituma kwa MPESA/Tigo/Airtel Money unakatwa kodi, mzazi wako akienda kutoa anakatwa kodi, atakapoenda kununua chumvi anakatwa kodi. Mapato yale yale yanakatwa kodi hata mara 5. Hiyo ni unfair taxation. Ni legalised theft of people's money by their own government through taxation.

Acacia hawakuwa wanafanya vizuri kwenye soko la hisa London. Ili kuwapa confidence investors waliamua kuwapa dividends shareholders. Serikali iliwabana inawezekana vipi kuwalipa shareholders dividends wakati hutengenezi faida? Maelezo ya Acacia ilikuwa kulikuwa na oversubscription wakati wa IPO. Hiyo pesa ndiyo waliyowagawia shareholders. Kitaalam oversubscibed amount unawarudishia waliotoa lakini huwezi kutoa kama dividend.

Kumbuka pia GGM miaka michache iliyopita walieleza kuwa walikuwa bado hawajarudisha capital investment yao. Serikali ikasema tayari walikuwa wamerudisha, wakashindana. Mtu wa kati alipoteuliwa akaonesha GGM walikuwa wamerudisha capital investmebt yao mwaka mmoja uliopita. Wakaanza kulipa corporate tax. Haya yote siyo ya ajabu, kila ulande unavutia kwake. Ni sababu hiyo ndiyo serikali inakuwa na watu wake kwaajili ya kulinda maslahi ya serikali na nchi.

Lakini hayo yote hayawezi kuwa sababu ya kuweka ugumu wa kufanya uwekezaji kwenye sekta ya madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tunashangilia kwa sababu hata bomba la mafuta ni uwekezaji.

Au hujui kuwa huu pia ni uwekezaji ambao serikali imevutia wawekezaji ndio maana wakaamua kupitisha bomba lao nchini.

Mnajivunia jasho la mwanaume mwenzenu..
 
Katika jambo linaloshangaza ni jinsi Tanzania inavyoonesha kushabikia na kufurahia mradi wa bomba la mafuta ya Uganda. Bomba hili la mafuta ni matokeo ya sera za nchi ya Uganda kuvutia wawekezaji katika utafiti na ujenzi wa miradi ya uvunaji mali za asili za Uganda. Ni matokeo ya utafiti wa muda mrefu. Uganda imefanya hivyo kwa kupitia sera, sheria na ushirikiano wa moja kwa moja na makampuni ya nje yanayowekeza Uganda.

Tunafurahia mradi wa mafuta ya Uganda wakati kwetu tunafanya kila jitihada za kufukuza wawekezaji kwa maelezo kuwa tunaibiwa. Tunafanya hivyo kwa kupitia sheria zetu mbovu zinazosimamia utafiti wa mali za asili, uvunaji na kauli za viongozi wakuu. Leo karibu makampuni 160 yaliyokuwa yanafanya utafiti Tanzania yamesimama, lakini yanaendelea kufanya utafiti katika mataifa mengine.

Leo kwa kupitia mabadiliko ya sheria zetu mbovu za Prof. Kabudi, hakuna kampuni ya nje itakayokuja kufanya utafiti wa madini ya Tanzania. Vipengere vinavyozuia wawekezaji kuja Tanzania kufanya utafiti wa madini ni pamoja na:

1) Sampuli za madini huwezi kupeleka nje mpaka upate kibali toka GST. Wenzetu wanapunguza urasimu, sisi tunaongeza urasimu. Sheria hiyo imewekwa na watu wasiojua chochote kuhusu utafiti wakifikiria kuwa madini yanaibiwa kupitia sampuli. Huo ni ujinga wa hali ya juu. Unajiuliza ni dhahabu gani inaweza kuwepo ndani ya sampuli ya 1kg mpaka kuwepo wizi wa madini kupitia sampuli! Hivi unapokuwa na grade ya 15g/t, ndani ya kilo moja ya sampuli? Dhahabu itakayowepo ni 15÷1000=0.015g. Gramu 1 ya dhahabu ni kama TZS 50,000. Kwa hiyo 0.015g itakuwa na thamani ya 0.015×50,000=TZS750. Hivi kuna mwekezaji anayeweza kuja kuiba Tanzania TZS 750 kwa kila sampuli? Sheria kama hii inaifanya Tanzania kuonekana nchi ya wajinga watupu.

2) Majibu ya maabara ya sampuli (database) za mwekezaji yapelekwe GST. Unajiuliza kama walioandika sheria hiyo wana uelewa japo mdogo wa biashara ya madini. Utafiti haumwingizii pesa mtafiti hata shilingi moja. Thamani ya mradi anaoutafiti ipo katika data. Ni data hizi, kama zikiwa nzuri ndiyo anaweza kuuza ili kurudisha sehemu ya pesa aliyotumia au ikarudisha gharama na kumpa faida, au asirudishe hata shilingi 1. Serikali inalazimisha ipate data mapema bure!!. Data ni taarifa ya siri ya kampuni kwa sababu usipokuwa makini ya namna ya kuzitoa zinaweza kuua kampuni kwenye share markets. Lazima hiyo kampuni iwe ya wajinga watupu ili kuweza kwenda kufanya utafiti katika nchi yenye sheria kama hii. Kama watakuwepo, basi ni lazima watapeleka data ambazo siyo halisi

3) Ukiangalia mabadiliko ya sheria ya madini ya Kabudi, ndiyo unapata uhakika ule ukweli kuwa academicians are poor managers and poor entrepreneurs. Wanashindwa kutafsiri nadharia walizo nazo kwenye uhalisia. Mabadiliko yale yanamtaka mwekezaji kutoa 16% free carried shares (nchi nyingi zinapata 0 - 10% free carried shares), mrabaha 7% (inajumuisha inspection ya 1%; Dunia nzima ni Mugabe pekee yake anatoza 7% royalty lakini wao wana corporate tax ndogo kuliko Tanzania. Mataifa mengi mrabaha ni 0 - 5%). Bahati mbaya sana Rais wetu amejenga imani kubwa sana kwa academicians, kuna siku atakuja kugundua kuwa they were WRONG PEOPLE FOR THE RIGHT JOB. By then it will be too late.

Kwa mabadiliko ya sheria ya madini ya Kabudi, tutaendelea kuwa na kampuni ambazo tayari zina migodi Tanzania, lakini hatutapata miradi mipya wala wawekezaji wapya. Leo Tanzania inatajwa kama eneo hatari kwa mitaji ya nje. Baada ya mabadiliko ya sheria ya madini, makampuni yote yaliyowekeza katika eneo hatari la Tanzania, hisa zao katika soko la fedha Sydney yalipoteza 30 - 50%.

Kupanga ni kuchagua, lakini kwa nini tufurahie matunda ya sera nzuri za uwekezaji za Uganda wakati sisi kwetu hatutaki kuwa na sera rafiki za uwekezaji? Leo makampuni ya utafiti wa madini yanaondoka Tanzania yanaenda Kenya, Angola, Mali, Uganda, Amerika Kusini na Asia, halafu baada ya miaka 5 tutaanza kushangilia miradi iliyopo Kenya na Uganda.

Wawekezaji wasipopata madini toka Tanzania, watapata mahali pengine Duniani. Katika dhahabu sisi hatupo katika top 15, lakini kuna mataifa zaidi ya 100 yenye dhahabu. Kwa nickel na iron hatupo hata katika top 20. Katika copper, silver, PGEs hatupo hata katika top 50. Tanzanite inapatikana Tanzania tu lakini hii ni saphire yenye vanadium, saphire ya kawaida ipo mataifa mengi Duniani. Zaidi ya yote ni kuwa tanzanite ni kwaajili ya urembo. Kwa nini tuna fikra kuwa ni sisi pekee yetu?

Dunia inaweza kuendelea bila ya Tanzania lakini Tanzania haiwezi bila ya Dunia. Tufanye jitihada mbalimbali lakini tusisahau tumo ndani ya Dunia yenye kila kitu.
Tatizo, data zako ni za kupika. Kwa hiyohazielezei uhalisia wa mambo.
 
Nimefanya kazi kwenye sekta hii kwa zaidi ya miaka ishirini ndani na nje ya Tanzania. Kwangu mimi miaka hii imekuwa ni muda wa kukusanya maarifa, uzoefu na umakini. Nimefanya kuanzia ngazi ya chini mpaka kwenye top management level. Class knowledge ni Masters degree.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote ulivyokusanya hiyo miaka 20 havijakusaidia kuwa mzalendo...nyie huwa tunawaita "educated fools"

We utakuwa kibaraka wao waambie walioe kodi hizi sio zama zileee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ushukuru nashindwa kukujibu kwa hoja na tatizo sio kuwa sina hoja, la hoja ninazo tatizo nimeona unafikiria saaana kwa vitu ambavyo hata memkwa hafikirii, jiulize kwanini kenya walipambana hadi dakika ya mwisho bomba lipite kwao. Tunataka uwekezaji wenye tija sio longolongo
 
Tuambie vile vile mgao wa faida ya mafuta kati ya serikali ya uganda na mwekezaji. Vizuri tuulinganishe na huu mgao wetu wa faida ya madini na mwekezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kulikuwa na mvutano bomba lipite Kenya au Tanzania basi jua ni kitu chenye maslai. TANZANIA ya sasa kila mtu mjuaji na kuna upande ushajipa jukumu la KUPINGA KILA KITU CHA SERIKALI.

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Tuambie vile vile mgao wa faida ya mafuta kati ya serikali ya uganda na mwekezaji. Vizuri tuulinganishe na huu mgao wetu wa faida ya madini na mwekezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama uzalishaji utakuwa chini ya 2,500 BOPD kwa siku, serikali ya Uganda itapata mrabaha wa 5%.

Kama uzalishaji utavuka 2,500 BOPD kwa siku, serikali ya Uganda itapata mrabaha wa 7.5%.

Serikali ya Uganda inamiliki 15% ya project kwa kulipa pesa ingawa siyo lazima kufanya up front payment. Lakini inaweza kumiliki mpaka 20%.

Sisi tunataka kumiliki 16% bila ya kulipa chochote!!
 
Nyerere ndio maana alikataa tusiwe na haraka nayo tujiandae kwanza sisi wenyewe, ila wakaja 'wanywa viroba vikubwa' wakagawa kama mali zao binafsi na sasa ni janga kwa taifa.
 
Back
Top Bottom