Heka moja inauzwa laki tano Morogoro

Hilo eneo kiukweli ni la moto, bado mgogoro haujapatiwa ufumbuzi, utatuzi wake unaendelea
Mtoa mada anapaswa kuwa mkweli,nina rafiki zangu wawili walinunua maeneo huko,walipotaka kuyaendeleza wakakuta yana umiliki toka miaka ya 1980 na wenye hati wanayalipia...kijiji chenyewe uhalali wake ni wa kutia shaka,kimekaa juu ya maeneo ya watu,ni wananchi walijikusanya eneo hilo miaka ya 90 bila kujua most of the area iko surveyed na inamilikiwa na watu,labda awamu hii iwape favor wanakijiji.
 
naona mnachanganya mada.Kuna kijiji kulia,walijenga hifadhi ya misitu washabomolewa.Hiki kipo na kuna kiwanda cha nyama.Halafu mi nina hati ya kijiji,kwanini usimuombe rafiki yako hati yake,unajua madhara ya unachoandika, Mtanzania mwenzio unamchelewesha kupata fursa kwa hisia tu?

Mtoa mada anapaswa kuwa mkweli,nina rafiki zangu wawili walinunua maeneo huko,walipotaka kuyaendeleza wakakuta yana umiliki toka miaka ya 1980 na wenye hati wanayalipia...kijiji chenyewe uhalali wake ni wa kutia shaka,kimekaa juu ya maeneo ya watu,ni wananchi walijikusanya eneo hilo miaka ya 90 bila kujua most of the area iko surveyed na inamilikiwa na watu,labda awamu hii iwape favor wanakijiji.
 
Suala la kuwa makini ni muhimu sana mkuu,matatizo ya ardhi yamekuwa mengi sana siku hizi
 
Kwa maelezo ya hao watu wawili kuhusu mgogoro wa hayo maeneo ni live ushakosa wateja totally mkuu, tafuta mbinu nyingine ya kupata hela ya krisimasi na muaka mpya.
 
Hatupingi kuhoji, ila tuheshimu biashara za watu.Ili eneo kuna mwenyekiti,mtendaji,kiwanda ,jirani yangu analima mwanajeshi. wote hawajui huo mgogoro?
 
Back
Top Bottom