Heist Genre Films!

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,194
Wale wapenzi wa filamu za kitapeli/wizi, akili mingi/ masterplanners tudiscuss ni filamu zipi unaona watu walitumia akili sana kufanikisha jambo lao!. Kwangu mimi hizi filamu huwa nabaki kuwaza sana akili zilizotumika ndani yake!.

OCEAN'S ELEVEN, TWELVE AND THIRTEEN​

NOW YOU SEE ME 1 & 2​

INCEPTION​

TOWER HEIST​

THE BANK JOB​

INSIDE MAN​

FAST & FURIOUS 5: RIO HEIST​

THE HURRICANE HEIST​

DEN OF THIEVES​
 
Italian job
Ifatilie na hiyo INSIDE MAN ni noma!... Jamaa wanateka bank halafu wanawavalisha mateka kama wao polisi wanashindwa jua nani mtekwaji nani mtekaji!..
 
Tafuteni FAST & FURIOUS 5 A.K.A. FAST 5. Dominic Torreto na tim yake wanakomba 100 million Dollars kutoka kwenye Police station.
 
Reactions: dtj
Tafuteni FAST & FURIOUS 5 A.K.A. FAST 5. Dominic Torreto na tim yake wanakomba 100 million Dollars kutoka kwenye Police station.
Inaitwa Fast 5/Fast and Furious 5: Rio Heist
 
Mmoja anielekeze jinsi ya kudownload hizi mambo wadau pamoja na subtiles
 
Ocean's series plot zake zimekaa vibaya sana, story yake pia kidogo inamapungufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…