Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
huyu ndio beki unakaba hadi mapumbu
anatafuta uhasama bure, anaweza kumkosesha mwenzake uwezo wa kupata mtoto kwa sababu ya mpira
huyu ndio beki unakaba hadi mapumbu
hujacheza cha ndimu au ndondo ww
ndimu na ndondo sijui ni michezo gani, pengine majina tofauti maana kombilela (komborela) huku kwetu zanzibar twaita kobole au kifichoficho