Heehe!ticha kachemka

Heehe!ticha kachemka

shee leo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
105
Reaction score
22
Mwlm alikuwa anafundisha mada ya vitendawili,akamwambia juma tega kitendawili..JUMA:kitendawili?WANAFUNZI:tega.JUMA:nivue nguo nikupe utamu?MWALIMU:mshenzi sana nani kakufundisha vitendawili vya kihuni kama hvyo?JUMA:mwlmu kama hujui bora unyamaze tu,jibu la kitendawili hicho ni NDIZI..MWALIMU:aaahaha.
 
Hahaha ndizi,unaingiza mdomo wa kibogoyo(mdomo usio na meno) utamu mpaka kwa mlishaji
 
Jibu nalo bado ni kitendawili, sijui ni NDIZI NYAMA!??
 
Waliimuu,,kazi mnayo haka ka kizazi haka
 
Kukabiliana na changamoto hizi ndiyo maana wlimu wengi wa leo nao wanakuwa machekibob.
 
Back
Top Bottom