Heeee!!!!Mchuma wako analiwa denda!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heeee!!!!Mchuma wako analiwa denda!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtama, Nov 12, 2010.

 1. M

  Mtama Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fikiria unamkuta dem wako analiwa denda halafu jana uliwaambia marafiki zako unataka kumvisha pete ya uchumba,na wakati unamuona ndo umetoka kununua pete!!Utaimeza au utaitafuna????
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hiyo itakuwa na mkosi, Wala usimwambie mtu. Tupa tu kimya na huyo demu wako mtie kapuni wala usimsemeshe.
  Ila akija tu Jitoe mhnaga hata ngumi mpige. Au sepa tu kiaina. Kimya kmya maana ni aibu sana wako aliwe denda na mtu mwingine.
  Anakuwa malaya kabisa
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Heeee!!!!Mchuma wako analiwa denda!!!!

  Mtwa hizo haraka za nini asubuhi hiii?
   
 4. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  shukuru mungu kuwa hilo denda umelishuhudia, je yale madenda mengine anayoliwa na hukubahatika kuyaona?????
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  :croc:
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  rud kwa sonara na pete yako mwambie sonara aiyeyushe aitengeneze pete then iyo kichen kdg dg MPELEKEE MAMA YAKO MZAZ...au dada yako...yule last bon
  uyo demu mkimbie na akija mkimbize
  polen sana
  ahh mbona izi mambo zipo iv jaman??????????????????????????????mi nachanganyikiwa jamaN...kamari iz everwhere
  hesabu za probability haziish daily znatokea ....
   
 7. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Aka, huyu ni Mtama, wangu akifanya hivyo sijiulizi tena. Jibu ninalo, mengine bwana Dena ni fedheha kubwa bora Usepe kimyakimya
   
 8. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nashangaa. Kurudi kwa sonara haifai. Bora tu uhesabu kuwa hiyo ni hasara. na uitupe mbali watu wasiojulikana waokote.
  Ni mkosi huo kama ulitaka kuoa kweli
   
 9. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dah! ala tujaribu pia kuangalia mazingira.....siku hizi hata wezi kabla ya kum pora mdada ana kula denda kwanza au baada.......and mazingira yalikuwaje? Usikurupuke kumkimbia unless mazingira yanamtia hatiani
  And kama ni Mkeo? Mumeo? and watoto wako home?
   
 10. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Usirembe uzembe, Kalambwa denda basi tupa pete tambaa kimya kimya! Mazingira ya kulambwa denda Bi harusi mtarajiwa? Halina cha mazingira wala nini anatakiwa kuwa makini. Hiyo ni mbaya na DENDA halitoki hivihivi tu
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  et ennh?
  kwel lakin
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ujue hutakaa upate demu wa kuoa " a.k.a"MCHUMA"
   
 13. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Bora usioe kama yupo kwenye maandalizi tu analiwa denda, na unajua denda ndo mwanzo wa kuliwa vingine vya ndani zaidi Lo bora niwe peke yangu
   
 14. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ni kweli hawa ndo baadaye wanakuzarau kwa kuwa kuna watu wenye mvuto zaidi yako katest weeee halafu wewe hufikii, Mtatushauri hadi lini Rose??
  Mengine yanaepukika
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  apo chachaaaaaaaaa!!!
  sjui tutashauriana mpk ln?
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  pete unaivaa mwenyewe.unaendelea nae unamtia mimba hlf unamwachia.prob solved
   
 17. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eeeeheeeeh naona katika hili vijeba a.k.a wababe mnakuja juuu ile mbaya ila nyie kutoka nje ya ndo mnashabikia sana,
  by da way acha wadada wafanye vituko.......maana kizazi cha kuoa kilisha kufa kikatoweka kabisa duniani.
   
 18. t

  tsuut Member

  #18
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF mimi nina mchumba ang tuliamua kuishi pamoja baada ya kumaliza chuo, kwani tuli bahatika kupata kazi mkoa moja. one i was seriously sick, tukaenda hospital nikagundulika nina malaria kali, so nikachomwa sindano kushusha ile hali, basi tukaanza kurudi home njiani akaanza kuniuliza maswali kwamba siku za nyuma nilikuwa na girl friends so anataka nimwambie kama nina mpago naye while she know tuliachana na anajua story zote kabla hata ya new relation. tukaanza kulumbana at end akasema anaondoka nikwamwambia asiondoke kwanza asubiri kesho labda anaweza akawa na wazo tofauti; nikashidwa kumzuia akakusanya vitu vyake akaondoka usiku, kabla hajaondoka alitaka kusikia msimamo wangu kama nitamwoa; nikamweleza msimamo wangu kuwa akiondoka asinitegemee kumpenda tena. tuna wiki sasa anaomba msamaha nimebaki kwenye msimamo je nina kosea wadau
   
 19. K

  Kaisikii Member

  #19
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa kumpa mate umeona dilii!kama alikuwa anamuhibia tuu?ungemuhuliza kwanza y?yawezekana alikuwa anafanya kitu flani mbaya kama ungemkuta anampa game..thoo mimi kwangu sio ishu hata kama namkuta anamegewa kwani we umegi nje zaidi ya kwake?
   
 20. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mi nadhani mheshimiwa Mtama we msamehe halafu muombe tigo....akikubali mvalishe pete tu.....kwani demu wa nani humu ndani haliwi denda?....wala sio dili kiivyo!
   
Loading...