waanze mashindano ili watafute mshindi?.....amweleze tu kuwa anamkera.....asipojirekebisha atafute njia nyingine na siyo kushindana.Na wewe chat kumzidi yeye ataacha
Waungwana!! Mnisaidie katika hili! Nampenda sana naye ananipenda ila tatizo amepitiliza katika kuchat,yan sms 500 kwake ni masaa tu, kibaya huwa nikimtumia mimi za kwangu kwa kuchelewa anasema sms zimemwishia so atanitext 2,3 then over. NIFANYEJE ILI APUNGUZE KUCHAT MANA CIPENDI HII TABIA!!!
Anaogopa kuachwa.Na kumwambia unashndwa nini?
yani sms 500 we unaambulia 2au3
nyingine anachart na wenzio,shtuka best
Eti na bado anamuita mupenzi.. seriously??
siku hizi inabidi usipende mtu
99%unapenda 30%nyingine unaweka pending!!
hahahaaa pacha umeua