Heee Hamadi!...

Nyakwec's Bro

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
820
Reaction score
174
Cha kuokota siyo cha kuiba mwenye mali ni mjinga,jamani nimeokota 350 asubuhi hii ni bahati jamani ww mara ya mwisho uliokota pesa lini?...
 
Umeiokotea wapi? Kama njia panda imekula kwako! Irudishe haraka kabla hujaota majipu mwili mzima!
 
Umeiokotea wapi? Kama njia panda imekula kwako! Irudishe haraka kabla hujaota majipu mwili mzima!
Kipipi hizo zilikuwa zamani siku hizi hapati mtu majipu wala nn,hujui siku hizi hata zile nazi wanazopasuaga njiapanda watu huwa wanapita nazo,kila kitu siku hizi deal!...
 
Last edited by a moderator:
hiyo hela hujaokota mfukoni kwa mtu kweli?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…