Heee, baada ya Babu sasa kuna dawa rasmi ya HIV

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Mwenyezi Mungu Anatupenda Wanadamu ila Sisi watu ndo wabaya tu, tunafanyiana ubaya.

Imagine mafisadi na wachakuaji wa Kura walivyo na roho mbaya. Wabunge wa magamba walivyo na ubinafsi wanataka posho nyingi ila watanzania wengine wafe njaa.

Baada ya utangulizi hapo juu, Basi hii dawa ya Ngwe Ngwe hapa chini. Inaitwa Baariz.

Narudia Tena mungu anatupenda ila basi tu dhambi zetu.

Ndo maana katuletea Babu wa Loliondo na Hii dawa Tena.

Jamani tupunguze Uzinzi.

Hiv Cure | Aids Treatment | Hiv Treatment
 
Back
Top Bottom