Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 541
- 175
hao watu ni wakutemwa mara moja,,,,,,wakiachwa wataozesha nyumba......
Pole sana Juliana... Siku nyingine usikubali kutumika. Naamini ulikuwepo pale Jangwani jana na kuangalia mood ya watu kuhusu Shibuda na kauli aliyootoa Mwenyekiti wako. Kueteleza sio kuanguka jirekebishe na usonge mbele
Wanasema yuko timu moja na shibuda je ni kweli????????..... huenda kaahidiwa ukuu wa wilaya,,,, ...... Tatizo njaaa na uzalendo unafiki wa watz tulio wengi,,,, tutaishia kulalamika mpaka mwisho wa dunia
Lazima hesabu alizikimbia shuleni hivi ukianza kusaidia shibuda ukuu wa wilaya utakujaje?
Baadi ya wanawake si watu wa kuaminika sana hasa katika harakati ngumu kama hizi!
really shocking and stupid affirmation at the same time!!!
Do you really believe that "WANAUME WOTE NI WA KUAMINIKA SANA HASA KATIKA HARAKATI NGUMU KAMA HIZI" - tunaanza kuwahukumu watu kutokana na jinsia,kesho tutakuja kwenye makabila yao na hatutoridhika tutazidi kushuka chini au kupanda juu depending on your point of view tutawahukumu kwa dini zao etc etc STOP IT...STOP IT!!!!
Huyu Juliana(?) ahukumiwe kama JULIANA NA SI KAMA MWANAMKE - stop flying low if you can fly at all!!! I don't know which JOHARI should be applied in your case???
Kauli yako ni kosa kubwa. Ukombozi wa nchi yetu na wa dunia nzima ni wa jinsia zote hivyo wanawake na wanaume ndio waleta mabadiliko. Lakini miongoni mwao kuna wasaliti. Si vizuri kutoa kauli za jumla jumla bali mlenge yule anayekosea vinginevyo nawe unajigeuza kuwa mtu asiye na hoja na mwenye kusumbuliwa na kutawaliwa na mfumo dume kitu ambacho naamini hukipendi!Wanawake hawaaminiki kabisa kwenye mapambano.. Heche tupo nyuma yako..
Kauli yako ni kosa kubwa. Ukombozi wa nchi yetu na wa dunia nzima ni wa jinsia zote hivyo wanawake na wanaume ndio waleta mabadiliko. Lakini miongoni mwao kuna wasaliti. Si vizuri kutoa kauli za jumla jumla bali mlenge yule anayekosea vinginevyo nawe unajigeuza kuwa mtu asiye na hoja na mwenye kusumbuliwa na kutawaliwa na mfumo dume kitu ambacho naamini hukipendi!
CHADEMA mwangalieni huyo mama ni kama delila alivyomdanganya Samsoni akamnyoa nywele. Kama vipi Piga chini Maamuzi magumu yanahitajika katika ukombozi wa Tanzania na ninaamini CHADEMA mnaweza.
tumemfungia camera kila nguo yake,kitandani kwake hadi ch*pi zake,kwa ufupi she is under survailance,.she will be contained without expel like we did to zitto,.we don't take any cr*p in times like this!..godamit
really shocking and stupid affirmation at the same time!!!
Do you really believe that "wanaume wote ni wa kuaminika sana hasa katika harakati ngumu kama hizi" - tunaanza kuwahukumu watu kutokana na jinsia,kesho tutakuja kwenye makabila yao na hatutoridhika tutazidi kushuka chini au kupanda juu depending on your point of view tutawahukumu kwa dini zao etc etc stop it...stop it!!!!
Huyu juliana(?) ahukumiwe kama juliana na si kama mwanamke - stop flying low if you can fly at all!!! I don't know which johari should be applied in your case???