Heche yuko sahihi kuhusu tamko lake dhidi ya Shibuda-Tundu Lissu

Pole sana Juliana... Siku nyingine usikubali kutumika. Naamini ulikuwepo pale Jangwani jana na kuangalia mood ya watu kuhusu Shibuda na kauli aliyootoa Mwenyekiti wako. Kueteleza sio kuanguka jirekebishe na usonge mbele

Hakukanyaga Jangwani.Nadhani kundi analotumikia lilimzuia kwenda Jangwani.
 
tumemfungia camera kila nguo yake,kitandani kwake hadi ch*pi zake,kwa ufupi she is under survailance,.she will be contained without expel like we did to zitto,.we don't take any cr*p in times like this!..godamit
 
Wanasema yuko timu moja na shibuda je ni kweli????????..... huenda kaahidiwa ukuu wa wilaya,,,, ...... Tatizo njaaa na uzalendo unafiki wa watz tulio wengi,,,, tutaishia kulalamika mpaka mwisho wa dunia

Lazima hesabu alizikimbia shuleni hivi ukianza kusaidia shibuda ukuu wa wilaya utakujaje?
 
Sijui katiba ya cdm inasemaje...lakini huyu na Shibuda wote ni kuwatimua haraka...wakafie mbele.wajue watu wamejtolea sana kuifikisha hii nchi hapo ilipo wao wanadhani ni mzaha mzaha...
 
Baadi ya wanawake si watu wa kuaminika sana hasa katika harakati ngumu kama hizi!

really shocking and stupid affirmation at the same time!!!
Do you really believe that "WANAUME WOTE NI WA KUAMINIKA SANA HASA KATIKA HARAKATI NGUMU KAMA HIZI" - tunaanza kuwahukumu watu kutokana na jinsia,kesho tutakuja kwenye makabila yao na hatutoridhika tutazidi kushuka chini au kupanda juu depending on your point of view tutawahukumu kwa dini zao etc etc STOP IT...STOP IT!!!!
Huyu Juliana(?) ahukumiwe kama JULIANA NA SI KAMA MWANAMKE - stop flying low if you can fly at all!!! I don't know which JOHARI should be applied in your case???
 
Nakuunga mkono mkuu.Huyu Juliana huu ujinga aliofanya sio kwa sababu ya jinsia yake bali kwa ujinga tu.Mbona Mdee ni jasiri kuliko wanaume wengi.
 
Wanawake hawaaminiki kabisa kwenye mapambano.. Heche tupo nyuma yako..
Kauli yako ni kosa kubwa. Ukombozi wa nchi yetu na wa dunia nzima ni wa jinsia zote hivyo wanawake na wanaume ndio waleta mabadiliko. Lakini miongoni mwao kuna wasaliti. Si vizuri kutoa kauli za jumla jumla bali mlenge yule anayekosea vinginevyo nawe unajigeuza kuwa mtu asiye na hoja na mwenye kusumbuliwa na kutawaliwa na mfumo dume kitu ambacho naamini hukipendi!
 
Very true.Kupotoka kwa Juliana isiwe kigezo cha kuwashambulia dada zetu wote...
 
CHADEMA mwangalieni huyo mama ni kama delila alivyomdanganya Samsoni akamnyoa nywele. Kama vipi Piga chini Maamuzi magumu yanahitajika katika ukombozi wa Tanzania na ninaamini CHADEMA mnaweza.
 
Kwa kweli mi wanawake wakiwezeshwa inabidi wawe makini kweli maana wakiwezeshwa wao wanaharibu mfano mwingine ni majirani zetu malawi............ Mama Joyce Banda kapata Uraisi hata miezi 6 hana Ameruhusu ndoa za jinsia moja (Mashoga) sijui huyu naye watetezi wa haki za wanawake hapa watasemaje nchi ambayo hata mwaka haujaisha toka uwahukumu maisha mashoga waliobainika..... dah hii nayo inatisha hawa watu wakiwezeshwa
 
wanawake wasiwe wasemaji wakuu kwenye,chama,wapewe uongozi kutokana na ujasiri,
 
CHADEMA mwangalieni huyo mama ni kama delila alivyomdanganya Samsoni akamnyoa nywele. Kama vipi Piga chini Maamuzi magumu yanahitajika katika ukombozi wa Tanzania na ninaamini CHADEMA mnaweza.

....Delila....Umenikumbusha mbali sana mkuu
 
Ukiendelea na matusi yako hayo tutakuvisha kanga shenzi
tumemfungia camera kila nguo yake,kitandani kwake hadi ch*pi zake,kwa ufupi she is under survailance,.she will be contained without expel like we did to zitto,.we don't take any cr*p in times like this!..godamit
 
Nina uhakika juliana shonza hasingeweza kuandika maelezo yale peke yake aliyoyatoa mbele ya waandishi wa habari coz mie namjua na nilisoma nae ni kilaza tu so cdm kuwa makini nae
 
really shocking and stupid affirmation at the same time!!!
Do you really believe that "wanaume wote ni wa kuaminika sana hasa katika harakati ngumu kama hizi" - tunaanza kuwahukumu watu kutokana na jinsia,kesho tutakuja kwenye makabila yao na hatutoridhika tutazidi kushuka chini au kupanda juu depending on your point of view tutawahukumu kwa dini zao etc etc stop it...stop it!!!!
Huyu juliana(?) ahukumiwe kama juliana na si kama mwanamke - stop flying low if you can fly at all!!! I don't know which johari should be applied in your case???

huyu dada ni mpuuzi tu sio kwasababu ya jinsia yake bali kwa ujinga wake, na kama ni njinsia basi mpuuzi wa kwanza ni shibuda maana ameonyesha upopo wake.
 
mwanamke ni mwanamke tu hawezi kuabdilika hata kama atakuwa na elimu, anajipambanua sana. Mara nyigi hata vitabu vya dini vimewaweka kama wa kundi la watu wakuaangalia sana kwenye jamii kwa mfano delira, Sarah, mke wa Ayubu, etc wote hawa walifanya mambo ya ajabu sana
 
Shibuda ni sawa na Sabodo, usawa wao ni wote wanapeleka silaha kwa maadui zao ili zitumike dhidi yao na watu wao kwa kujenga popularity zao kama wanavyoitwa makada ni kweli. Haingii akilini kabisa kada wa upinzani akatangaze kugombea uraisi kupitia katika mkutano wa wapinzani wakati hiyo post ndio kilele cha ushindani wa kisiasa. Pia si kawaida kabisa kada wa CCM achangie upinzani ili waishikishe adabu CCM.

Tofauti yao Shibuda politike, Sabodo Mbongo, pesa, makuta au umate mate na uchawi wa kidhungu, kama ipo sheria ya kumpa kichapo Shibuda ndio hiyo hiyo itampa adhabu Sabodo.
 
Back
Top Bottom