Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,377
- 18,734
Ni kweli kuna wana CCM wengi tuu ambao ni wazalendo wa kweli wa nchi hii,na mimi nikiwemo ambao tunataka mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi,na kutaka CCM ishinde kwa haki, kwenye uwanja sawa wa mchezo, lakini hakuna mwana CCM ,anayeunga mkono huo utopia wa no reform,no election!。Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wapo baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaounga mkono kauli ya chama hicho ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi inayojulikana kama 'no reforms no election'.
View attachment 3253435
Akizungumza katika mahojiano na chombo kimojawapo cha habari nchini Heche amesema kwamba baadhi ya wana CCM hawapendi mfumo uliopo wa uchaguzi hivyo kuamua kuunga mkono mabadiliko ya mfumo huo kama ambavyo vyama upinzani vimekuwa vikisisitiza.
"Hakuna mtu nchi hii ambae hajui kwamba mfumo wetu wa uchaguzi ni mbovu, hata watu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ukiongea nao utasikia mtu anasema yaani mambo yanayofanyika mpaka naona aibu, wapo wanaotuunga mkono" amesema Heche.
CHANZO: Nipashe
Sasa umeandika nini kaka, umenichanganya.Ni kweli kuna wana CCM wengi tuu ambao ni wazalendo wa kweli wa nchi hii,na mimi nikiwemo ambao tunataka mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi,na kutaka CCM ishinde kwa haki, kwenye uwanja sawa wa mchezo, lakini hakuna mwana CCM ,anayeunga mkono huo utopia wa no reform,no election!。
P
Kaka mkubwa vipi utaenda tena kugombea Kawe na kina Mwijaku?Ni kweli kuna wana CCM wengi tuu ambao ni wazalendo wa kweli wa nchi hii,na mimi nikiwemo ambao tunataka mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi,na kutaka CCM ishinde kwa haki, kwenye uwanja sawa wa mchezo, lakini hakuna mwana CCM ,anayeunga mkono huo utopia wa no reform,no election!。
P
Bahati mbaya kabisa hawezi kumtaja hata mmoja!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wapo baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaounga mkono kauli ya chama hicho ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi inayojulikana kama 'no reforms no election'.
View attachment 3253435
Akizungumza katika mahojiano na chombo kimojawapo cha habari nchini Heche amesema kwamba baadhi ya wana CCM hawapendi mfumo uliopo wa uchaguzi hivyo kuamua kuunga mkono mabadiliko ya mfumo huo kama ambavyo vyama upinzani vimekuwa vikisisitiza.
"Hakuna mtu nchi hii ambae hajui kwamba mfumo wetu wa uchaguzi ni mbovu, hata watu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ukiongea nao utasikia mtu anasema yaani mambo yanayofanyika mpaka naona aibu, wapo wanaotuunga mkono" amesema Heche.
CHANZO: Nipashe
Unaelewa maana ya neno “Utopia” Au unalopoka tu!!Ni kweli kuna wana CCM wengi tuu ambao ni wazalendo wa kweli wa nchi hii,na mimi nikiwemo ambao tunataka mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi,na kutaka CCM ishinde kwa haki, kwenye uwanja sawa wa mchezo, lakini hakuna mwana CCM ,anayeunga mkono huo utopia wa no reform,no election!。
P
Mimi nimesema no reforms no election ni utopia!. JF ni ukumbi wa kuelimishana na kuhabarishana, ukiniona mimi siijui maana ya utopia, hivyo ni mropokaji tuu, ni haki yako, ila haiuondoi utopia wa no election!.Unaelewa maana ya neno “Utopia” Au unalopoka tu!!
What makes you think that “ No reform no elections “ cannot suceed? Kama wewe umekata tamaa kaa kando usiwaambukize wapenda nchi yao!
Mkuu nilipoanza kusoma mpaka mstari wa tano ghafla nikabonyeza kitufe cha "like" kufika mstari wa sita ikabidi nikibonyeze tena...Ni kweli kuna wana CCM wengi tuu ambao ni wazalendo wa kweli wa nchi hii,na mimi nikiwemo ambao tunataka mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi,na kutaka CCM ishinde kwa haki, kwenye uwanja sawa wa mchezo, lakini hakuna mwana CCM ,anayeunga mkono huo utopia wa no reform,no election!。
P
Nasikia Mayalla maana yake njaa, yaani nzala kwa kifupi ni mayalla inadumaza uwezo wa fikra.Ni kweli kuna wana CCM wengi tuu ambao ni wazalendo wa kweli wa nchi hii,na mimi nikiwemo ambao tunataka mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi,na kutaka CCM ishinde kwa haki, kwenye uwanja sawa wa mchezo, lakini hakuna mwana CCM ,anayeunga mkono huo utopia wa no reform,no election!。
P
Duh....!.Nasikia Mayalla maana yake njaa, yaani nzala kwa kifupi ni mayalla inadumaza uwezo wa fikra.
MImi pia.😃Mkuu nilipoanza kusoma mpaka mstari wa tano ghafla nikabonyeza kitufe cha "like" kufija mstari wa sita ikabidi nikibonyeze tena...
Mbona unajikanyaga???Ni kweli kuna wana CCM wengi tuu ambao ni wazalendo wa kweli wa nchi hii,na mimi nikiwemo ambao tunataka mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi,na kutaka CCM ishinde kwa haki, kwenye uwanja sawa wa mchezo, lakini hakuna mwana CCM ,anayeunga mkono huo utopia wa no reform,no election!。
P
Sijawahi kumuelewa mayala tangu nizaliweNi kweli kuna wana CCM wengi tuu ambao ni wazalendo wa kweli wa nchi hii,na mimi nikiwemo ambao tunataka mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi,na kutaka CCM ishinde kwa haki, kwenye uwanja sawa wa mchezo, lakini hakuna mwana CCM ,anayeunga mkono huo utopia wa no reform,no election!。
No reform no election iko very CLEAR achana na hayo ya utopia. Unajichanganya. Basi hata ukitranslate Unaona kwamba "Bila mabadiliko hatuwezi kufanya uchaguzi WA haki' msingi WA uchaguzi WA Kwanza NI haki. Kuwepo mabadiliko yatakayo hakikisha haki imezingatiwa na siyo kama ilivyo sasa!!!Mimi nimesema no reforms no election ni utopia!. JF ni ukumbi wa kuelimishana na kuhabarishana, ukiniona mimi siijui maana ya utopia, hivyo ni mropokaji tuu, ni haki yako, ila haiuondoi utopia wa no election!.
P
Usichanganyikiwe wala hajakuchanganya, yeye ndiye amejichanganyaSasa umeandika nini kaka, umenichanganya.