PreGE2025 Heche: Njia pekee ya watu kujipatia uongozi utakaowajibika kwao ni kwa njia ya kura

PreGE2025 Heche: Njia pekee ya watu kujipatia uongozi utakaowajibika kwao ni kwa njia ya kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha kamati kuu wa kamati kuu ameeleza kuwa wapo kwenye vita na watu ambao wameshindwa kuongoza nchi, wanaoiba mali za umma na wasio na malengo na nchi hii.

"Sote tunajua kwamba tuko vitani na watu ambao wameshindwa kuongoza nchi, hawakubaliki, hawaaminiki, wanaiba rasimali za nchi, wamefanya wananchi kuwa masikini, hawana ubunifu. Kuna ufisadi mkubwa unaendelea kwenye nchi yetu, watu wanakufa hawana madawa. Rasilimali za nchi yetu zinatapanywa kwa wachina, waarabu na wazungu" - John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA

Soma pia
 
CCM et wanatoa idadi Fulani ya majimbo kwa wapinzani na wapumbavu wanasema ni sawa. Yaani taifa limekuwa la hovyo sana
 
Well said Kamanda!
Na huu ndio ukweli na anaeweza kubisha ni shetanii na ukoo wake tu!
 
Back
Top Bottom