Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,844
- 7,617
We mama sijui unaongea nini?Karne na Karne coal imetumika kutengenezea haya maendeleo ya viwanda vilivyopo Leo hata kabla ya umeme wa viwandani,viwanda vyote duniani vilianzia makaa ya mawe,viwanda vya meli,treni etc halafu wewe unasema eti makaa sio issue!!!Ok Leo hilo bwawa lenu la Nyerere limekamilika Mbona bado gharama za umeme zipo juu???Viwanda Mbona vina prefer coal sana kuliko umeme???Punguza uchawa mama
Acha kutetea ujinga. Umeme unahitajika kuliko hicho kiwanda. Umeme una manufaa kwa watanzania wote ila kiwanda hakitagusa maisha ya watanzania wote. Umeme wa uhakika utazalisha viwanda vingi zaidi. HECHE NI AKILI NDOGO SANA.