PreGE2025 HECHE: Nilimshauri Magufuli lakini hakunisikiliza

PreGE2025 HECHE: Nilimshauri Magufuli lakini hakunisikiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Na hili Bwawa limekwisha kwanini Umeme haushuki ? Badala kujikita kwenye yaliyopita ambayo si ndwele vipi tuchimbane hapa hapa sasa hivi kwa upuuzi unaotokea leo, au tunangoja kusema tulimshauri Samia..

Reform ni muhimu mkuu
 
Bwawa la Nyerere limejengwa na hilo na hilo ndiyo la muhimu zaidi
Inajulikana wazi mmeumozwa na ujenzi wa hilo bwawa
#UPDATES "Wakati bwawa la mwalimu Nyerere linajengwa nikaishauri serikali chini ya Rais Magufuli, unataka kujenga bwawa unataka kujenga SGR unahitaji chuma, sisi tuna chuma pale Liganga, Ludewa tuna chuma cha kuchimba miaka 100 tuna mlima wa chuma tutatumia hiko chuma hata miaka 100, Mungu akaweka na makaa ya mawe ya kuyeyushia hiko chuma pale pale Liganga, mchanga wa kusafishia hiko chuma akaweka pale Iringa hakuna kitu tunaagiza kutoka nje"

"Nikamwambia Rais kabla hatujaanza kujenga bwawa letu la Mwalimu Nyerere tujenge kwanza kiwanda chetu kile kiwanda ambacho kilikuwa kinahitaji Dola za kimarekani Bilioni 3 ambazo ni Trilioni 7.8 halafu tuchimbe miaka 100, halafu ukishajenga hiko kiwanda kingeajiri vijana elfu 60 halafu unamuita mkandarasi ajenge bwawa la Mwalimu Nyerere unampa hela lakini unamwambia chuma utanunua hapa kwahiyo unampa hela kwa mkono huu halafu unachukua kwa mkono mwingine."

"Hawakunisikiliza wakanipuuza leo tunaagiza chuma kutoka nje, mwaka jana pekee yake tumeagiza chuma chenye thamani ya dola Bilioni 1.2 sawa na Tsh. Trilioni 3 kwa mwaka, huo ni mwaka mmoja, mwaka juizi hivo hivo kwa miaka 3 tumeagiza chuma cha Trilioni 10 ambacho tungejenga kiwanda chetu cha Trilioni 7.8 tungechimba miaka 100"

John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wananchi wa Serengeti.
View attachment 3333349
Huyu jamaa ni hazina kubwa sana kwa Taifa huwa namuelewa sana.

#EastAfricaTV
 
No offence ukiweka mbali siasa jamaa ana data and hi is good aisee. Why system haichukui watu kama hawa ina kumbatia chawa?
Nchi hii inaongozwa na wajinga kila idara.
Mfano sehemu zetu za kazi ukija na cv iliyoshiba kumzidi hadi Boss wako kazi hutapata kamwee itachanwa na kuchomwa nimeona mara kadhaa
 
Nchi hii inaongozwa na wajinga kila idara.
Mfano sehemu zetu za kazi ukija na cv iliyoshiba kumzidi hadi Boss wako kazi hutapata kamwee itachanwa na kuchomwa nimeona mara kadhaa
Nchi za wenzetu wana recruit the best, wanaenda kule ambapo kuna bright minds. Hao ndio wanapewa kipaombele

Sisi huku bright minds ni threat kwa watawala, wanawapiga vita. You wonder why nchi haipigi hatua

Haiwez piga hatua kama wajinga ndio wamepewa nguvu na wanawaogopa werevu
 
Bwawa la Nyerere limejengwa na hilo na hilo ndiyo la muhimu zaidi
Inajulikana wazi mmeumozwa na ujenzi wa hilo bwawa
Yeye alikataa bwawa lisinjengwe? yeye si alishauri chuma ichimbwe na makaa ya mawe yatumike kuyeyusha chuma ile ili tuwe na viwanda vya chuma na muwekezaji (mkandalasi)asinunue chuma nje tena?
 
Nikamwambia Rais kabla hatujaanza kujenga bwawa letu la Mwalimu Nyerere tujenge kwanza kiwanda chetu kile kiwanda ambacho kilikuwa kinahitaji Dola za kimarekani Bilioni 3 ambazo ni Trilioni 7.8 halafu tuchimbe miaka 100, halafu ukishajenga hiko kiwanda kingeajiri vijana elfu 60 halafu unamuita mkandarasi ajenge bwawa la Mwalimu Nyerere unampa hela lakini unamwambia chuma utanunua hapa kwahiyo unampa hela kwa mkono huu halafu unachukua kwa mkono mwingine."
1747211518508.png
 
Nchi za wenzetu wana recruit the best, wanaenda kule ambapo kuna bright minds. Hao ndio wanapewa kipaombele

Sisi huku bright minds ni threat kwa watawala, wanawapiga vita. You wonder why nchi haipigi hatua

Haiwez piga hatua kama wajinga ndio wamepewa nguvu na wanawaogopa werevu
Msukuma ana mchallenge janabi je unataka kuona maajabu mengine zaidi ya haya?
Mkuu bado sana nchi zetu hizi mtu anaogopa kuajiri msomi na mwenye uwezo wa kazi husika eti anasema hawa wasumbufu sana. Ni ajabu mno
 
Nchi za wenzetu wana recruit the best, wanaenda kule ambapo kuna bright minds. Hao ndio wanapewa kipaombele

Sisi huku bright minds ni threat kwa watawala, wanawapiga vita. You wonder why nchi haipigi hatua

Haiwez piga hatua kama wajinga ndio wamepewa nguvu na wanawaogopa werevu
Sasa Kwa akili kama hizi kila mtu chawa unategemea nini?Yaan hii nchi Ina Vitu vya ajabu sana!
downloadfile-27.jpg
 
Hicho kiwanda cha chuma kingeendeshwa kwa umeme wa mafuta taa? Nchi ilikuwa na MW 1600 tu kuhudumia watu 60m.. umeme ulihitajika kwanza kuliko kitu kingine. Ushauri wake ulikuwa mzuri kama kungekuwa na umeme wa kutosha.
 
Sasa mama hujaelewa nini?Amesema atatumia makaa ya mawe kuyeyushia hicho chuma!
"Mungu akaweka na makaa ya mawe ya kuyeyushia hiko chuma pale pale Liganga, mchanga wa kusafishia hiko chuma akaweka pale Iringa hakuna kitu tunaagiza kutoka nje"

Acha kutetea ujinga. Umeme unahitajika kuliko hicho kiwanda. Umeme una manufaa kwa watanzania wote ila kiwanda hakitagusa maisha ya watanzania wote. Umeme wa uhakika utazalisha viwanda vingi zaidi. HECHE NI AKILI NDOGO SANA.
 
nafikiri tu hakukuwa na muda, binafsi naamini kabisa ilikuwa kwenye pipeline na ndiyo maana liganga ilikuwa tayari kwenye radar hata viwanda vikubwa kama dangote alitakiwa atumie makaa ya mawe ktk liganga badala ya kuagiza hivyo naamini muda haukutosha lkn hilo lingekuja tu …
 
Back
Top Bottom