Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

CCM inamuogooa Lissu vibaya sana- wanajua uchaguzi huru na HAKI Lissu hata asipofanya kampeni atamchapa mama yao asubuhi mapema.

Chama chenye umri wa miaka 60+ still kinaogopa uchaguzi huru na haki hii ni aibu kubwa sana.
Huo ndio ukweli
 
Yani tanzania bado tuna kundi kubwa wa wajinga kama wew .
 
hapo kwenye kukinukisha vibaya ndio nimepape.nda
 
Trauma ya uhandishi wa Jabari imevamiwa aisle sa hivi Kila mwenye smartphone ni investigation journalist
 
Kama uzi hauna maana kwako pita tu aloo. Lakini jamaa zetu wanacheza gwaride hawajui ni la sherehe za muungano, Uhuru au la mazoezi tu ya kuweka mwili sawa. Wakati ruzuku huku imesimamishwa wenzao wanapata mafao ya ukimbizi. Familia zao ziko sehemu salama na tulivu kabisa. Vipi familia za Heche na Mnyika na mazuzu wengine?

Watu waliolazimishwa wasigombee ubunge Wala udiwni unadhani wametendewa haki? Hivi kumwambia Mh. Sugu asigombee ubunge wa mbeya mjini unadhani kunamsaidia yeye au Lissu au wananchi wa mbeya?
 
acha ujinga kubali maarifa uishi na watu vizuri
 
Kavulatana,huwa sikuelewagi,upo kundi la watu,popo,mnyama ama ndege?
 
RIZI WANI KIKWETE
SALMA KIKWETE
ABDULLA MWINYI
ABASI MWINYI
ASMA MWINYI
GEOFREY MIZENGO
MTOTO WA SAMIA WENU
MCHENGERWA
KIMBAO
MTOTO WA WASIRA
MTOTO WA MASABURI
Wewe jina lako lipo hapo? kama halipo endelea kuwa CHAWA Msalimie luca
George Bush na Bush mtoto wote walitawala Marekani kama marais, tena ni nchi kubwa kabisa duniani. dunia haina usawa na ndio maana marais wote duniani waliopata kutawala ni matajiri.mtu awe rais halafu watoto na familia yake wawe malofa haiwezekani, na kwa tz hilo lazima liwepo sababu kwenye siasa ndiko kwenye maisha mazuri na ndio maana watu wanaacha taaluma zao wanakimbilia kwenye siasa
 
RIZI WANI KIKWETE
SALMA KIKWETE
ABDULLA MWINYI
ABASI MWINYI
ASMA MWINYI
GEOFREY MIZENGO
MTOTO WA SAMIA WENU
MCHENGERWA
KIMBAO
MTOTO WA WASIRA
MTOTO WA MASABURI
Wewe jina lako lipo hapo? kama halipo endelea kuwa CHAWA Msalimie luca
Hata kule Marekani mtu na baba yake walikuwa Marais. Clinton alikuwa Rais na Hilary Clinton alitaka kuwa Rais. Kama wanazo sifa Sioni shida hapo. Hata mm watoto wangu 3 wametamani taaluma yangu; Wacha nao wachukue kazi za baba zao. Ninachojali mm nisambaziwe maji, umeme, barabara, shule ,n amani na utulivu. Majimbo Yako mengi NAMI nikiweza naenda kugombea jimboni kwetu.

Akina vita Kawawa, sokoine, john mongela, makongoro Nyerere, nk nao walikuwa wabunge kwenye awamu zilizopita huko.
 
Mkuu jaribu kuwa mtu smart kidogo; unawafahamu walipo au wanaposoma watoto wa Mnyika au Heche? Upende sana kuongelea Familia ya watu siyo afya sana kwako.
Mbaya zaidi hujui faida ya msimamo wa Lissu kuhusiana na reforms kwenye taasisi zetu?
Unataka kusema na wao watoto wao wako Ulaya huku wanawazuga watoto wa wajinga tu?
 
Kapige mswaki we màlaya wa kimboka ,unanuka domo na maku ,mbwa we
 
CCM inamuogooa Lissu vibaya sana- wanajua uchaguzi huru na HAKI Lissu hata asipofanya kampeni atamchapa mama yao asubuhi mapema.

Chama chenye umri wa miaka 60+ still kinaogopa uchaguzi huru na haki hii ni aibu kubwa sana.
Aaaaa kaka, hii ni ile ya usimdharau adui Yako. Na hii imekuja baada ya daudi kumpiga Goliath kwa silaha dhaifu sana. Kule jeshini hakuna adui mdogo na mkubwa.
 
Kuna wakati CCM inawashukiru sana Heche na Mnyika kwa kuonyesha dunia kuwa tz Kuna demokrasia ya kuongea. Idadi ya Watu wanaohudhuria kesi ya bw. Lissu inazidi kupungua siku hadi siku. Au huoni kaka yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…