Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,717
- 2,746
NakaziaNO REFORMS NO ELECTION
Yani wamchukue katikati ya soko la kariakoo na watu kibao wamejaa alafu washindwe kukaaa nae kituoni kwa kuhofia wananchi? Hao wananchi wanaoandamana nyuma ya keyboard au wapi?Baada ya kumkamata Kariakoo na kumpeleka Msimbazi, Polisi walimtoa kituoni hapo baada ya Nguvu ya Wananchi kuwatisha na kisha kuwatelekeza kwenye mtaa mmoja na kutokomea.
Baada ya Heche na viongozi wengine kugundua kwamba Polisi Wamekimbia nguvu ya Wananchi wakaamua kuondoka.
Heche ataunguruma Mikocheni kesho na kufichua kila kitisho alichopewa na Mamluki wa Polisi waliotumwa kumteka.
View attachment 3312662
Bilashaka yoyote atakua anaropoka muda wote wa press conference, huenda na hang over itakua imeisha, maana alikamatwa akiwa anatoa harufu kali ya pombe na bangi mdomoni ๐Wakuu kesho itakuwa fire sana, ngoja tuje kusikia sakata lilikuwaje hada makamu kutoka kukamatwa hadi kuavhiwa kwake mana ni kama movie.
===
Taarifa iliyochapishwa na Chadema na kurudiwa na Blenda Rupia Mkurugenzi wa mawasiliano Chadema inaeleza
"Usiku huu tumempata kwenye simu yake Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, kesho tarehe 23 Aprili 2025 atazungumza zaidi katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote wa habari mnakaribishwa"
View attachment 3312661
Soma:
- Pre GE2025 - LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu
- Pre GE2025 - DSM - Godbless Lema: Heche yupo sawa na mwenye afya njema, kesho ataendelea na mikutano
- John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
- Pre GE2025 - DSM - Chalamila: Kariakoo ni eneo la biashara siyo sehemu ya kufanyia mikutano ya hadhara
- Pre GE2025 - DSM - Polisi yakana kuwashikilia Heche na wenzake! Wasema walikuwa wanazuia fujo kutokana na kutokuwepo uwanja wa mkutano
Haha haYani wamchukue katikati ya soko la kariakoo na watu kibao wamejaa alafu washindwe kukaaa nae kituoni kwa kuhofia wananchi? Hao wananchi wanaoandamana nyuma ya keyboard au wapi?
Baba yako akiitwa mlevi utafurahi?Levi hil0....
Wamemgwaya๐๐๐NO REFORMS NO ELECTION
Wenye dhambi na madhalimu always hujawa na hofu isiyojulikanaNchi ngumu sana hii. Sasa Heche wanamwogopea nini CCM?
Mbona nguvu ya wananchi haijawashinda walipomkamata Lissu?Baada ya kumkamata Kariakoo na kumpeleka Msimbazi, Polisi walimtoa kituoni hapo baada ya Nguvu ya Wananchi kuwatisha na kisha kuwatelekeza kwenye mtaa mmoja na kutokomea.
Baada ya Heche na viongozi wengine kugundua kwamba Polisi Wamekimbia nguvu ya Wananchi wakaamua kuondoka.
Heche ataunguruma Mikocheni kesho na kufichua kila kitisho alichopewa na Mamluki wa Polisi waliotumwa kumteka.
View attachment 3312662