Heche kukamatwa hivi karibuni

Heche kukamatwa hivi karibuni

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,554
Reaction score
57,848
Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma!

Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika na aombe!! Maana mateso yakizidi ukombozi waja
 
Screenshot_2025-04-19-14-21-43-907_com.twitter.android.jpg
 
Haitakaa itokee na hawawezi kijaribu HILI, ever never!!.
 
Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma!

Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika na aombe!! Maana mateso yakizidi ukombozi waja
Ccm wakizidiwa wanaagiza polis wakamate wapinzani wao, viongozi wa kidini waseme ukweli...
 
Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma!

Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika na aombe!! Maana mateso yakizidi ukombozi waja
Mateso!.. mateso kwa nani!?
 
Ukisikia Mzee flani alikuwa polisi, au mwanajeshi na alipostaafu kawaacha watoto wake wengi jeshini....kinachofuatia ni muendelezo wa tabia zile zile!
Hadi Aina ya Kesi ni zile zile za Uhaini!

Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma!

Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika na aombe!! Maana mateso yakizidi ukombozi waja
Aaaah wamchukie tu jamaa naye anangebe sana
 
Back
Top Bottom