Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,750
- 2,635
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleiman Said Bungara maarufu Bwege, alikuwa mwanasiasa anayepigania haki za watu wake na Taifa kwa ujumla.
Ameyasema hayo leo Machi 31 katika mazishi ya Bwege wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi.
Bwege alifariki Machi 30 akiwa anapatiwa matibabu hospitalini jijini Dar es Salaam.