namjuwa patrobas na mimi binafsi si mwanachadema ni ccm damu nimesoma nae SAUT akiwa law four mimi nilikuwa law two alitupa taabu sana ktk kuimarisha tawi la ccm na asingekuwa mwenyekiti wetu kipindi hicho moud sijuwi ingekuwa vipi maana hata yaledy alizidiwa sana kete na akina patrobas. napenda sana nchi yangu isonge mbele bila kujali itikadi za vyama. tunahitaji vijana watakao fanya nchi yetu isonge mbele bila kujali itikadi zetu. tanzania ni yetu sote we have not to think only of ourselves we have also to think about our next generation. dogo patrobas anatoka kahama nijuavyo mimi jitahidini basi kuondoa dhana ya ukanda. you have to think big
Mkuu David Thomas umesema ukweli pasi shaka, you have try to prove the truth beyond the resonable dought big up kijana msomi, waeleze wasiomjua Patrobas, achilia mbali harakati zake na kutokuwa msaliti pia alikuwa best student na kupewa scholarship ya kusoma masters, jamaa ni jembe sana na chama kipo makini sana ktk kupata viongozi kuepuka usaliti kama wa kina Mwampamba na Chonza.
Siasa haihitaji hayo mamasters yenu. Siasa ni mabarabarani sio maofisini na milaptop yenu. Ki ukweli patrobas haziwezi siasa za chadema. siasa za mavurugu na makelele, maandamano, hiyo bavicha angewaachia wehu akina ben ,heche, nanyaro mabange bange
Mbona Salum Mwalim sio kimyakimya?mkuu sasa hivi mambo ni kimya kimya
Ndugu yangu tindo
Hayo ndiyo majembe ya BAVICHA!.
Hata mwaka haujaisha mmeshaanza kuwarushia ngumi?.
Wenzenu ni vijana wa kidijitali!.
Wanaendesha mambo kisayansi ya dijitali!.
Sasa mnataka wakafanye nini kwenye wakati mnasema CCM imeshindwa kwenye uchaguzi na pia kwa sasa CCM inajifia!
Au ndiyo zile lugha za propaganda. Mkitoka nje mnasema CCM imekufa lakini mkirudi ofisini mnaanza kutingisha vichwa!.
Patrobas ni mtu sahihi kwa BAVICHA kwa sasa, tuache majungu, tumpe mda, ni mtu wa harakati, mipango na mfia chama. Kama humjui fuatilia/tress back historia yake;
1.Wakati akiwa waziri wa katiba na sheria SAUT Mwanza na waziri wa sheria TAHILISO akipigania haki ya wanavyuo kupiga kura kwa kuibana serikali ifuate ratiba ya TCU kwa kuruhusu vyuo vifunguliwe ili wakapige kura.
2.Akiwa mwenyekiti wa CHASO CDM SAUT harakati alizofanya kukijenga chama na kuhakikisha serikali ya wanafunzi inakuwa chini ya CDM na alifanikiwa. Muulizeni aliyekuwa Rais wa SAUT/SAUTSO 2012/2013 BWN Godlisten Malisa na rais WA 2013/2014 Bwn Dova
3. Amekuwa akitumia taaluma yake ya sheria kukitetea chama hasa kwenye kesi za kisiasa, NK
4. Ameshiriki kuhakikisha mkoa wa Mwanza unakuwa chini ya CDM wakati akiwa chuoni, 2010 alihakikisha mawakala wa kusimamia kura ktk vituo wanatoka SAUT ikasaidi kupata ushindi ktk kata nyingi na majimbo ya Ilemela na Nyamagana, waulizeni kina Wenje na Highness. Yapo mengi na atafanya makubwa ndani ya BAVICHA. Kama kuna swali au wasiwasi wowote mnaweza kuuliza.
Mwenyekiti wa Bavicha ni kijana wa Diallo.
simaanishi kama unavyo dhani ww. binafsi napenda sana challenges ambazo ni chachu ya maendeleo ya tz yetu. na kamwe siamini kamwe kama chama fulani ni cha kabila fulani au ukanda fulani i hate tribalism regionalism kila mzalendo wa kweli nitampa suport daima naipenda nchi yangu na nawapenda watanzania wenzangu.mungu ibariki afrika mungu ibariki tanzania
choko choko mchokoe pweza
Mark my words huyu ni bomu na hataleta impact yoyote bavicha