sasa mwanaume akilipa ada ya shule, kujenga nyumba, kuleta matumizi nyumbani na vitu kama hivyo, je mwanamke pesa yake inakua inatumika kwa shughuli gani?..maana unakuta mwanamke anafanya kazi kila kitu unafanya mwanaume..at the end of the day anakuja omba hela ya kutengeneza nywele kwako, kwao cjui kuna tatizo anakuomba mwanaume..limitations lazima iwepo huwezi jipatia majukumu makubwa kwa kisingizio cha wewe ni mwanaume...ova..
narudia tena your argument is soo personal we alwas differ,thats why nakuuliza una umri gani ,na ni kwanini mwalimu anafundisha darasani kuna watakao faulu vizuri,disco,fail why ask your selfmy age is of no importance hapa. nor is my argument personal it just simple truth.
wewe kama wanawake wangekuwa wanasema hapa hapewi mtu K mpaka anioe unadhani nyumba ndogo zitakuwepo? lakini kwa sasa baba wanawake nao ndio wanatoa kama peremende basi jamaa wanamega.
mimba...bwana hili ni simple biology ya form 2 demu ndio anaamua either nipate mimba au lah...najua utasema kuwa oh kwani mwanaume ajui kuwa tendo linaweza kuleta mimba...thia answer is simple keep ur legs closed mpaka marriage tuone kama mimba za kifalafala zitatokea. ala pili kama mwanaume hajakwambia anataka mtoto basi jua kabisa hataki.
ukahaba well goes back to point one...fungeni miguu hamna man atakayepata K na hukaaba hamna
Uliza wanawake wakuambie mwanaume anasifiwa kwa lipi uone kama utajibiwa anasifiwa kwa kukaa kitako kujadili. Ngoja niwaite wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya umonita wa Kongosho waje wakufunde ili ukija kuoa mkeo asijeanzisha misredi ya kuomba ushauri hapa JF.
JItahidi kumsoma huyo mvulana labda utamuelewa. BTW hebu njoo PM nikutongoze kidogo.Rabeka kipenzi, imekuaje tena hapa??!!mbona hapasomeki
Ndo uwezo wako wa kufikiri ustawi wa familia umeishia hapo??
sasa mwanaume akilipa ada ya shule, kujenga nyumba, kuleta matumizi nyumbani na vitu kama hivyo, je mwanamke pesa yake inakua inatumika kwa shughuli gani?..maana unakuta mwanamke anafanya kazi kila kitu unafanya mwanaume..at the end of the day anakuja omba hela ya kutengeneza nywele kwako, kwao cjui kuna tatizo anakuomba mwanaume..limitations lazima iwepo huwezi jipatia majukumu makubwa kwa kisingizio cha wewe ni mwanaume...ova..
JItahidi kumsoma huyo mvulana labda utamuelewa. BTW hebu njoo PM nikutongoze kidogo.
Unaweza kudhani huoni kumbe wewe ndo unajizuia kuona!!
Hongera kaka kwakutoa mada nzuri kweli wanaume wa Kizazi hichi TUMESAHAU majukumu Yetu kuna wanaume wengi sasa hivi wanaokimbilia kuoa wanawake wenye uwezo wa Kifedha KWAKUOGOPA majukumu yao ni hii imekuwa ndo style ya maisha ya mjini. Hii inanikera kuona wanaume tunajikataa na kuwa tayari kuwa watumwa wa wanawake wenye fedha unakuta Kijana wa wa miaka 32 amewekwa ndani na mama 49 Kijana huyo hana kazi hana hata chumba cha kupanga hana mbele wala nyuma lakini anajiona yuko kwenye mstari sahihi wa maisha najiuliza je akijapata Mtoto cjui Mtoto atamuona Baba yake ni mzazi wa aina gani au ni vipi atatimiza malezi yake kwa Mtoto kama Baba. Hii ni ngumu Kukubali lakini Kizazi cha Mwanaume kina potea. S io shida sasa hivi kukuta vijana wakisema mi staki msichana nataka mama wakunilea sababu wasichana wa sku hizi ni pasua kichwa as if yeye ni mkubwa sana huyo mama hakupitia ujana. Tujiulize wazazi wetu waliwezeje kuoa mabinti wadogo nakuwavumilia mpaka wakazeeshana. Na dawa ya tatiizo nikuliface sio kukimbia wanaume turudishe heshima waliyopewa wazazi wetu zamani.
narudia tena your argument is soo personal we alwas differ,thats why nakuuliza una umri gani ,na ni kwanini mwalimu anafundisha darasani kuna watakao faulu vizuri,disco,fail why ask your self
as former president usa president said. you may not agree with me but atleast you know where i stand. sasa the point i find rather perplexing is u failure to supoort ur statement that my argument is personal. and mind u anyone given ample time cn find a suitable example to clarify their argument but that does not necessarily mean their argument is valid.