Hebu tuwekane sawa kwenye hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu tuwekane sawa kwenye hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Preta, Jan 25, 2010.

 1. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Kuna hii habari nilisikia wiki iliyopita clouds lakini haikunikalia vizuri sasa naomba maoni kutoka kwa wahusika.
  Kwa kina dada walio wengi linapokuja swala la kutoka outing (mtoko) mara nyingi utakuta lazima atoke na shoga yake/zake, ni wachache sana ambao wanaweza kwenda sehemu peke yao kwa kinywaji, muziki au hata kwenye sherehe mbalimbali. Utakuta yuko radhi aingie gharama ili mradi aende na shoga yake je nia ni nini? kutokujiamini? woga au ni nini hasa, na je wakina kaka unapokuwa umemualika mdada kwa kinywaji,dinner etc unakuwa na mtazamo gani unapomuona amekuja na shoga yake/zake? Hebu tusaidiane kwa hili
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Preta hiyo blue hapo haijaeleweka unauliza mdada kutoka outing mwenyewe au akiwa amealikwa? Ulivyoiweka ni kama mwanadada vile mwanadada anatakiwa aende out mwenyewe iwe ni mziki au kwenye kinywaji mi sijakuelewa kabisa mpenzi
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Preta sio kutojiamini kwa mie kiukweli huwa nashindwa toka out alone cause unaweza kwenda sehemu ukabaki unashangaa shangaa tu huna hata wa kuongea nae na ukiwa unapenda lager kama nanihii unaweza jikuta umemaliza kreti la UHURU ...unakuwa hauko confotable ..mkiwa wawili na mnafahamiana ..inakuwa rahisi hata story zinaiva ...;)
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Hapo najua huyu anataka "pazia". Na kama hali ndo hiyo huwa naondoka mwenyewe...bili atalipa yeye apo.....ustaarabu hakuna apo!
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ni kutojiamini tu!.........
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  wanaojieshimu/jitambua hawawezi kufanya hivto, ni tabisa mbaya kwa kweli, mtu kakualika mahali unabebana na frnds 2/3, tabia mbaya sana.
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwanza, wengi wa wanaume huwa wanachelewa kwenye vi-date. Msichana anaweza kujikuta anasubiri hadi nusu saa. Kwa hiyo ukiwa na shosti wako unapata kampani wakati unamsubiri jamaa.

  Sababu nyingine, wanaume ni wepesi kutaka kula kitumbua baada ya mtoko, hata kama ni mtoko wa kwanza. Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume. Hivyo basi, kujiepusha na hili, wengi wa wasichana hupenda kutoka na marafiki zao katika maswala mazima ya kujiongezea confidence na kuepuka kutoa kitumbua kabla hata hakijaeleweka.
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  Okay noted!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  lol basi hii heading na maelezo nilikuwa sijaelewa ..Ni kutolewa out ndo unakusanya group au hata wewe mwenyewe ukiamua kutoka out?
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  lakini mbona mwanaume yeye huwa anaweza kwenda mahali mwenyewe na akaenjoy tu?
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  hata kama kachelewa wewe huwezi kuendelea na kinywaji chako ukimsubiri?
  ....hiyo sababu ya pili sorry lakini ni ya kujinga mno nashindwa kuielezea.
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mmhhh!
  NOTED AGAIN
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HIVI kitumbua ndo nin?
   
 15. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  You missed the point, je ni lazima uyaelezee mawazo ya mchangiaji mwenzio? Nilidhani ungeyadiscuss.
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  mie naweza kutoka mwenyewe, tena natokaga sana sana tu, nina hela yangu naenda mahali ninapopapenda napata kinywaji najirudia home....
   
 17. Guyana Halima

  Guyana Halima Member

  #17
  Jan 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kibibi
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kibibi?.....
  ndo nin?:D
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  pole kama nili mic point lakini nicngeweza ku discuss hiyo niliyo ku qoute hapo chini, khaaa kazi ipo.

  "Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume"
   
 20. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mimi nadhani Preta anazungumzia swala la mdada kuitwa mahali na Jamaa, sasa badala ya kwenda peke yake anamchukua mtu mwingine wanongozana nae.

  Hii tabia ni ya kawaida sana kwa kina dada, kuna sababu kibao lakini nahisi moja wapo ni kulipa fadhila kwa shoga yake inawezekana mtoko uliopitwa nae alichukuliwa na shoga yake kweya kupata ma-lager na vyuku somewhere.
   
Loading...