Jina tu la mshiriki lilitosha kutuondoa mapema. Nadhani majaji walidhani kuwa uingereza imepeleka washiriki wawili. Kwa nini tusidhamini majina yetu? nina hakika huyo mshiriki analo jina la kiasili hata la ukoo, lakini akaona atumie majina ya kukopa toka uingereza.