Hebu tutafakari kidogo,Watanzania tunashindwa wapi miss world?

Mleta maada we ni mpumbafu sana unasema miss Uganda kawa Wa tano cha ajabu hujasema huyu miss wetu kawa wangap una akili kweli wewe? Iv waandishi Wa habar Wa tz ni lini mtapata akili?
 
Jina tu la mshiriki lilitosha kutuondoa mapema. Nadhani majaji walidhani kuwa uingereza imepeleka washiriki wawili. Kwa nini tusidhamini majina yetu? nina hakika huyo mshiriki analo jina la kiasili hata la ukoo, lakini akaona atumie majina ya kukopa toka uingereza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom