Hebu Tumsaidie Rais Ni Mashirika Yapi majipu yapo njenje

GPTZ

Member
Sep 27, 2015
84
24
Naamini katika ukweli na Uwazi. Jamii foram kunawatu makini, wakweli,wasomi, wapenda nchi ,na wasio na majungu.
Katika siku 100 za serikali ya awamu ya 5, Maarufu kama A,5 Rais GPM ameonyesha dhamira ya kumaliza rushwa na umungu mtu wa viongozi
(kutumbua majipu )
Hebu tusaidiane kumuonyesha Rais JPM yalipo majipu ya waziwazi.
Kumbuka kuweka maeneno Akiba.
Kutukana hailuhusiwi.

Mimi nashauri aangaze Tanesco
Na Uda kuna majipu ya kufa mtu...
 
Watanzania wakati umefika wa kuacha kushangilia wakati majipu yanapotumbuliwa wakati hujui siku yako.Maana nimeona kwenye jamii forum watu wanashagalia wakati mtu akitumbuliwa jipu.Kumbuka huu msemo:

"If you keep quiet when your neighbor's house is on fire thinking it will not get to yours, then you live in a dream world! Take up the gauntlet and let us fight together. We either swim together or we sink together. Which do you choose?"

Ni wakati wa kumsaidia Raisi wetu badala ya kushabikia shabikia majungu yasiyo kuwa na miguu wala kichwa.
 
Musolini5 nafikiri hujui historia. Hiyo kampuni unayotaja unajua tatizo lao na mwekezaji lililodumu almost miaka 15 na sasa ndiyo inataka kufunguliwa?
 
mashirika mengi ni majipu hasa huduma zao za kimaandazi...........

mbovu;
angeanza na jeshi la polisi ni jipu la nguvu...
-wanaushirikiano mkubwa na wazee wa kazi
-wakijua una mshiko wanakufanyia lolote wakupore
-wanapandikiza kesi na vidhibiti
ni wala rushwa anzia wale wa barabarani.... mpaka wale wa magereza
-kile kitengo cha madawa ya kulenywa ni hatari zaidi.... ngoja nile ugali ntarudi



bila kuwasahau tanesco nalo ni jipu.
 
Back
Top Bottom