Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
KILA kona ya Tanzania ukipita leo hii utasikia watu wakimsifu Rais John Pombe Magufuli kwa kuonyesha jitihada za ‘kutumbua majipu’.
Ni ukweli ulio dhahiri kabisa hii ni ishara nzuri na nia njema iliyoanza kuonyeshwa na Rais Magufuli katika kuleta mwanga katika uongozi wa Tanzania baada ya kuwepo kwa uzembe, ukosefu wa maadili na utumiaji wa ofisi za umma kwa nia ya wachache kunufaika na rasilimali za taifa.
Kwa muda mrefu Tanzania ilishindwa kuonyesha uongozi imara na bora katika kufanya uamuzi wenye tija kwa taifa. Kwa tafsiri nyingine, tulikuwa chini ya uongozi uliowaacha ...
Kwa habari zaidi, soma hapa => Rais Magufuli hawezi kutumbua majipu kila kona, tumsaidie | Fikra Pevu