Hebu tulinganishe Kigali master plan 2040 na Dar es Salaam master plan, (watanzania tumerogwa sio bure)

Dar hii hii ya 2018 ichukue kaishushe Kigali Ndio utajua unafananisha nini na nini.
 
Kigali hakuna siasa kule ni jeshi la mtu mmoja tu kule hakuna watu neutral kule ILA siku Kagame aking'oka ndo basi tena sidhani kama ataacha taasis imara na zenye uadilifu.
Hili sio la kweli huo ni mtazamo wako wala sio fact hata kidogo jamaa kweli ni anaudicteta lakini hatendi mwenyewe ametengeneza system imara sana isiyo mtegemea yeye na ndio maana hautasikia matamko ya ajabu ajabu katika mambo serious wenzetu mambo yote yanaenda kimkakati sio tu unaamka asubuhi unadai walio achwa na waume zao wake ofisini
 
Hakuna unalolijua kuhusu Rwanda bora ukae kimya tu.
 
Mimi naomba kujua tu kuhusu kitu cha kwanza kabisa hata kabla ya hayo majengo marefu na barabara zinazopandana...maji ya bomba yaliyo safi na salama yanapatikana kote Dar? Watu wameacha kurundika "makonteina" ya maji vyumbani? Ukiyaweka kwenye ndoo hata mwezi hayana precipitation yoyote?
 
Jamani nimejaribu kupitia kwenye mitandao kutafuta mipango ya maendeleo ya makazi kwa hii miji miwili Kigali na Dar es salaam.

Nini kimenisukuma kwanza ni kutokana na maneno ninayoyasikia mtaani kuwa kigali rwanda ni kuzuli ni kuzuli.

hii ndio kazi ya msingi ya wale wenye dhamana ya ardhi na maendeleo ya makazi kwa mijini.
Ngoja na sie NJOMBE tupande hadhi tutawazidi hao wote
 
View attachment 935395View attachment 935402We jamaa usifananishe dar es salaam na vitu vya ajabu..

Wao wanaongea kuwa na mpango wa BRT 2040, sisi huku tunatumia now,

wao wanaongelea kuwa na tren za umeme 2040 sisi huku tunaanza kutumia mwakani hizo tren.
Wao wana panga kujenga majumba ya kufanya mji wao uwe na mvuto2040..
Sisi huku hata nafasi hapo posta hakuna kumejaa migorofa tu...
Nasema hivi hatuwezi kuwa sawa na dubai sijui hong kong au New York huko ila kwa hizi nchi wenzetu za dunia ya tatu tupo vizuri kwa kiasi chake na tunaweza kuwatambia tu..
Maghorofa yenyewe yamejengwa kiholela utasema Dar nao ni mji. Tembelea miji mingine ili uje tena kuongea ulichokiongea.
 
Jamani nimejaribu kupitia kwenye mitandao kutafuta mipango ya maendeleo ya makazi kwa hii miji miwili Kigali na Dar es salaam.

Nini kimenisukuma kwanza ni kutokana na maneno ninayoyasikia mtaani kuwa kigali rwanda ni kuzuli ni kuzuli.

Nikaingia kwenye youtube nikajaribu kutafuta kigali kwa bahati nzuri nikakutana "kigali master plan 2040" ki msingi nilijisikia kushikwa na wivu sana.

Kwa kifupi mimi katika katika kabila langu wanyarwanda walikuwa wanadhaurika sana tena sana. Hii kudhaurika ni kutokana na maisha yao waliyokuwa nayo huko nyuma ya vita na kuishia kuwa wakimbizi kule kwetu.

Watu hawa walikuwa wakifanya kazi za vibarua na kutuhumiwa kufanya matukio ya uhalifu kwenye jamii yetu hivyo walionekana watu wa chini sana.

Kwenye jamii yetu mtu akiambiwa mnyarwanda ilikuwa tusi kubwa sana. katika jamii yetu hii kuoa mnyarwanda ilikuwa ni kitendo cha kashifa ambacho ilikuwa ni kufanya kituko cha aibu.

Hivyo nilitafuta kutazama kigali nikiwa na mentality ya dharau hiyo kichwani lakini nimestaajabu kuona mipango ya jinsi kigali itakavyokuwa mwaka 2040 sio ya bara hili la afrika labda ulaya au amerika sawa.

Nikataharuki kwa maana waswahili wanasema "ukiona mtu kapiga hatua za kimaendeleo ukaona kawaida bila kusikia taharuki ya wivu ya kujiuliza hivi sisi tunafanya kitu gani? jua wewe upoupo tu.

Nikajaribu kutafuta "Dar es Salaam master plan"

Nilichokutana nacho kimeandikwa kama Dar es Salaam master plan kwenye youtube ni kituko. Nimekutana na porojo za watanzania wamerekodiwa mara wakilalamika majengo ya kihistoria yasibomolewe na porojo tu na picha za mji. Nilijisikia kunyongonyea nikajiuliza hivi natakiwa kudharau wanyarwanda au kujidharau kwa kuwa mtz.

Kama mpaka sasa hatuna master plan ya miji yetu kuona jamani mpango wa maendeleo wa makazi yetu tunaojaribu kuutekeleza ni huu, kuwa labda ikifika mwaka 2040 tunataka kuwa tumefikia hapa. Kila mmoja anatekeleza yake kichwani. Huyu akiamka anasema jangwa tunaweka hiki huyu kile, huyu anajenga hapa yule akija anabomoa.

Jamani wenye dhaman katika jambo hili mnatuangusha, jaribuni kutafuta hiyo kigali "2040 ilivyo mjaribu kuzisukuma miji yetu yote itengeneze dira kama hizo za maendeleo. Mkisha kuwa na hizo dira wekeni kanuni za kutuwezesha kufika huko.

Watu binafsi wajue kufika 2040 makazi yake kulingana na eneo alilopo linatakiwa liweje, manispaa zijue maeneo ambayo yako chini yao yanatakiwa yaweje, n.k.

Tukiwa na mipango tutafika lakini tukifanya bila mipango hatuwezi kufika popote. Maendeleo ni sawa na ujenzi wa nyumba ukijenga nyumba bila ramani leo unajenga chumba kimoja kesho unabomoa hapa unaongeza chumba pale utakuwa na nyumba kubwa mwishoni lakini isiyoeleweka na hivi ndivyo tunavyojenga miji yetu.

hii ndio kazi ya msingi ya wale wenye dhamana ya ardhi na maendeleo ya makazi kwa mijini.
Mkuu, ungeweka ushahidi wa picha au document juu ya hayo uyasemayo ingesound zaidi.
 
Unaweza kuingia youtube uka search "Kigali master plan 2040" alafu u search "Dar es Salaam master plan"

au ingia google utype hayo maneno yaliyo kwenye inverted koma utafute ujionee.

Mpango wa makazi wa 2040 wa kigali ni kazi nzuri sana na inaonyesha ndio maana Kigali inapiga hatua kwa sababu wana dira au plan wanayojaribu kutekeleza.

Dar master plan inaonekana haipo kwa sababu ukitafuta hakuna kinachopatika zaidi ya video za viporojo vya watu.

Kutengeneza master plan na kuiweka sehemu ambayo kila mwananchi anaweza kuiona ni njia moja wapo ya kubadili mindset za watu ili kujenga taswira hiyo mnayojaribu kuitafuta vichwani mwa watu.

nimejaribu kuziweka hapa hizo video lakini kigali master plan admin aliikata nikadhani ni kwa kuwa ile ni official document na haikuwa sawa kuleta video moja tu ya Dar hivyo jaribuni kuzitafuta wenyewe.
 
Fine...nilijikita kwa wachangiaji(baadhi ambao may be wangependa kuona evidenced presentation).
 
Jamani nimejaribu kupitia kwenye mitandao kutafuta mipango ya maendeleo ya makazi kwa hii miji miwili Kigali na Dar es salaam.

Nini kimenisukuma kwanza ni kutokana na maneno ninayoyasikia mtaani kuwa kigali rwanda ni kuzuli ni kuzuli.

Nikaingia kwenye youtube nikajaribu kutafuta kigali kwa bahati nzuri nikakutana "kigali master plan 2040" ki msingi nilijisikia kushikwa na wivu sana.

Kwa kifupi mimi katika katika kabila langu wanyarwanda walikuwa wanadhaurika sana tena sana. Hii kudhaurika ni kutokana na maisha yao waliyokuwa nayo huko nyuma ya vita na kuishia kuwa wakimbizi kule kwetu.

Watu hawa walikuwa wakifanya kazi za vibarua na kutuhumiwa kufanya matukio ya uhalifu kwenye jamii yetu hivyo walionekana watu wa chini sana.

Kwenye jamii yetu mtu akiambiwa mnyarwanda ilikuwa tusi kubwa sana. katika jamii yetu hii kuoa mnyarwanda ilikuwa ni kitendo cha kashifa ambacho ilikuwa ni kufanya kituko cha aibu.

Hivyo nilitafuta kutazama kigali nikiwa na mentality ya dharau hiyo kichwani lakini nimestaajabu kuona mipango ya jinsi kigali itakavyokuwa mwaka 2040 sio ya bara hili la afrika labda ulaya au amerika sawa.

Nikataharuki kwa maana waswahili wanasema "ukiona mtu kapiga hatua za kimaendeleo ukaona kawaida bila kusikia taharuki ya wivu ya kujiuliza hivi sisi tunafanya kitu gani? jua wewe upoupo tu.

Nikajaribu kutafuta "Dar es Salaam master plan"

Nilichokutana nacho kimeandikwa kama Dar es Salaam master plan kwenye youtube ni kituko. Nimekutana na porojo za watanzania wamerekodiwa mara wakilalamika majengo ya kihistoria yasibomolewe na porojo tu na picha za mji. Nilijisikia kunyongonyea nikajiuliza hivi natakiwa kudharau wanyarwanda au kujidharau kwa kuwa mtz.

Kama mpaka sasa hatuna master plan ya miji yetu kuona jamani mpango wa maendeleo wa makazi yetu tunaojaribu kuutekeleza ni huu, kuwa labda ikifika mwaka 2040 tunataka kuwa tumefikia hapa. Kila mmoja anatekeleza yake kichwani. Huyu akiamka anasema jangwa tunaweka hiki huyu kile, huyu anajenga hapa yule akija anabomoa.

Jamani wenye dhaman katika jambo hili mnatuangusha, jaribuni kutafuta hiyo kigali "2040 ilivyo mjaribu kuzisukuma miji yetu yote itengeneze dira kama hizo za maendeleo. Mkisha kuwa na hizo dira wekeni kanuni za kutuwezesha kufika huko.

Watu binafsi wajue kufika 2040 makazi yake kulingana na eneo alilopo linatakiwa liweje, manispaa zijue maeneo ambayo yako chini yao yanatakiwa yaweje, n.k.

Tukiwa na mipango tutafika lakini tukifanya bila mipango hatuwezi kufika popote. Maendeleo ni sawa na ujenzi wa nyumba ukijenga nyumba bila ramani leo unajenga chumba kimoja kesho unabomoa hapa unaongeza chumba pale utakuwa na nyumba kubwa mwishoni lakini isiyoeleweka na hivi ndivyo tunavyojenga miji yetu.

hii ndio kazi ya msingi ya wale wenye dhamana ya ardhi na maendeleo ya makazi kwa mijini.

uringanishe dar na uchafu huo! kigari ilinganishe na Kahama
 
Jamani nimejaribu kupitia kwenye mitandao kutafuta mipango ya maendeleo ya makazi kwa hii miji miwili Kigali na Dar es salaam.

Nini kimenisukuma kwanza ni kutokana na maneno ninayoyasikia mtaani kuwa kigali rwanda ni kuzuli ni kuzuli.

Uringanishe Dar na uchafu huo! Kigali ilinganishe na Kahama
 
Back
Top Bottom