BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Mkuu hao unaotaka tuwasifie wapo wengi mitaani tunakaa nao kazi umalaya na ulevi tu. Wanasubiria tarehe wapate mshahara watuchukulie wake zetu.Kuna dada wa Kikorea juzi alikuwa anajitapa kuwa Jeshi lao ni jeshi bora
kuliko majeshi yote Ulimwenguni, huu ni uzalendo wa hali ya juu kuliko
ule wa vidume vya kibongo vyenye ndevu halafu vinaliponda jeshi lao
watu kama hao siwatofautishi sana na mashoga.
Kitu ambacho ukijui ukomando ni moyo sio mwili wala kuishi ulaya.