Hivi majuzi tumesikia kupitia vyombo vya habari mbalimbali kuwa mkuu Wa mkoa Wa dar es salaam kazuia matumizi ya shisha katika mkoa wake na badae tukasikia tamko la serikali kupitia waziri mkuu kuwa nimarufuku kutumia shisha eti inamadhara makubwa kwa binadamu, je! Sigara haina madhara? Mbona imeachwa ?je nikweli uvutaji Wa shisha unamadhara kushinda ya sigara? Nambona nchi za kiarabu na baadhi za Africa hazijapiga marufuku matumizi ya shisha au ndio kusema sisi tuna wataalamu wazuri Wa kiafya kushinda nchi za kiarabu??