Hebu tujadili nisahihi kuzuia shisha nakuicha sigara?

kilicho

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
1,117
868
Hivi majuzi tumesikia kupitia vyombo vya habari mbalimbali kuwa mkuu Wa mkoa Wa dar es salaam kazuia matumizi ya shisha katika mkoa wake na badae tukasikia tamko la serikali kupitia waziri mkuu kuwa nimarufuku kutumia shisha eti inamadhara makubwa kwa binadamu, je! Sigara haina madhara? Mbona imeachwa ?je nikweli uvutaji Wa shisha unamadhara kushinda ya sigara? Nambona nchi za kiarabu na baadhi za Africa hazijapiga marufuku matumizi ya shisha au ndio kusema sisi tuna wataalamu wazuri Wa kiafya kushinda nchi za kiarabu??
 
Hivi hiyo shisha ni nini hasa, inatumiwa hadharani kama kiloba na sigara, Maana sijawahi kuona. Cha msingi ni kuangalia faida zake na hasara,tusijadili kwa kufananisha mbona, mbona haifai, tusiongeze matatizo sababu tu matatizo yalikuwepo kabla.
 
Kaka am sure madhara ya sigara na viroba nimakubwa shinda ya shisha,bt hizo kampuni za sigara na viroba maybe yanalipa kodi kubwa serikalini ndio maana hawawezi kufungia, so ni siasa tu
 
Kaka am sure madhara ya sigara na viroba nimakubwa shinda ya shisha,bt hizo kampuni za sigara na viroba maybe yanalipa kodi kubwa serikalini ndio maana hawawezi kufungia, so ni siasa tu
Lakini je tuendelee kuongeza tatizo kwa sababu tayari tuna matatizo?
 
Kilicho,
Kabla ya kutokwa na mapovu kuhusu suala husika. Ungefanya Utafiti kidogo ili Upate uelewa kuhusu kodi inayoingia serikalini kupitia Sigara. Halafu jiulize Shisha inalipa Kodi kiasi gani?
 
Kilicho,
Kabla ya kutokwa na mapovu kuhusu suala husika. Ungefanya Utafiti kidogo ili Upate uelewa kuhusu kodi inayoingia serikalini kupitia Sigara. Halafu jiulize Shisha inalipa Kodi kiasi gani?
Kiongozi haihitaji masters kujua kuwa shisha hailipi kodi kubwa kushinda sigara au viroba, kwanza matumizi yake nimadogo sana so ata demand yake pia ni ndogo naukumbuke pia shisha ipo kwenye hoteli standard huiwez kuikuta manzese au tandare na ata kama inamadhara bt haishind ya sigara na viroba sababu haitumiki kwenye public
 
Nakama ni issue ya madhara sigara na viroba nazo pia zina madhara makubwa ,nakama issue nikulinda afya za watanzania basi wafungie viwanda vya sigara na viroba otherwise itakuwa ni siasa tu
 
Tatizo Watanzania wanapenda sana kukompromise mambo! Kila jambo wanataka waulize kwanini!!!
 
Mtu atembee na lichupa lote lile
Kama umenisoma huko juu shisha sijawahi kuona, ila hakuna niliposema watu watembee nayo, hata wanapouzia sijaiona iwe baar au madukani, ila ni wewe mwenywe ndiyo uliyeniju haitumiwi hadharani. Ungenieleza sababu ya kuto tumiwa hadharani, kuwa sababu ya ukubwa wake au uzito wake.
 
Kiongozi haihitaji masters kujua kuwa shisha hailipi kodi kubwa kushinda sigara au viroba, kwanza matumizi yake nimadogo sana so ata demand yake pia ni ndogo naukumbuke pia shisha ipo kwenye hoteli standard huiwez kuikuta manzese au tandare na ata kama inamadhara bt haishind ya sigara na viroba sababu haitumiki kwenye public
Una hakika kuhusu "Shisha haina madhara kuliko Sigara na viroba"!!!????? Nakushauri ufanye utafiti kidogo chief. Shisha ni kilevi hatari sana. Mbaya zaidi vijana walikuwa wanaweka madawa ya kulevya ndani ya Shisha.
 
Kuweka madawa yakulevya ata kwenye sigara nowdayz wanaweka
 
to me,kuzuia never ever sound ndio utendaji uliotukuka...the good leader should build a well regulated body ya control matumiz ya vitu kama hivi..sehemu kama maclubs,casino kuzuia hili nikuathiri biashara zao.
Lakin pia i dont see kama shisha is a priolity thing to fight for...kuna viroba watu mchana kweupe yupo ganzi.
 
Kuweka madawa yakulevya ata kwenye sigara nowdayz wanaweka
Mkuu mimi moja ya watu wanaotumia sigara nina mwaka ishirini na mbili natumia sigara, lakini sijawahi kutana sigara imewekwa madawa ya kulevya, niwe nimenunua kwa Tesha, au Chinga muuza mzaga au pale Stendi.
 
Back
Top Bottom