Hebu tuache kuzaana sasa, hali ni ngumu

Kwa mujibu wa maarifa ya kimungu hakuna limit katika kuzaa watoto, maana Mungu Mwenyezi katika ahadi zake kwa Ibrahim alisema uzao wake utakuwa sawa na mchanga wa bahari, yaani hautahesabika na utabarikiwa kwa kila hali. Lakini tukija kwenye maarifa ya kidunia ambayo yapo influenced na mamlaka ya kishetani ndo tunaanza kuongelea mambo ya population control. Kwa hiyo unapoongelea watu kuthibiti uzazi wao unaweza kujikuta unakufuru kwa mujibu wa maarifa ya ufalme wa mbinguni..........lakini unakuwa upo sahihi kwa mujibu wa maarifa ya kidunia.​
 
Nasema wacha watu wanyanduane na wazaliane.
Mapori ni mengi sana bado nguvu kazi inahitajika sana nchi yetu ifike uchumi wa juu kabisa kama USA.
 
Ungefika wilaya ya Nkasi mkoa huo huo wa Rukwa ungechoka kbsa
Huu ni ukweli kwa 100%, nilienda kalambo(wilaya mojawapo ya mkoa wa rukwa), aiseee kila ukikutana na msichana mwenye umri kuanzia 20+ ni ana mimba au mtoto mdogo.
 
Shida sio watu wanataka tu kuzalishana tu hovyo hovyo , bali ni shida za genye huwa zinazidi akili
 
Kondom haijawahi kuleta utamu sijui kwa wengine ila sionagi kitu, hapa njia ni kumwaga njee tu
 
Ila corona imepunguza sana population usisahau hii factor, so hatuko kwenye sehemu mbaya sana, ila nachopendekeza mimi ni uzae watoto unaweza kuwamudu kuwapa huduma zote
 
Halafu pia tambau njia za mpango wa uzazi nyingi ni failure, zina side effect nyingi na nyingi zinawakataa wengine hujikuta ameconcive pasipo tegemea,
 
UMEDANGANYWA
ONGEZA SPIDI ,
NASEMAJE
NASEMA HIVI
USITAKE KUPINGANA NA MUUMBA , MWENYEZI MUNGU ....


TU ZA LI ANE.
 
Idadi ya watu wengi ikitumiwa vizuri, Hupelekea Taifa hilo kua kubwa kiuchumi.

By the way Tanzania na Africa bado tunawahitaji sana hawa watu ili tuzidi kuendelea kwenye kila nyanja. Asante.
 
Huu ni ukweli kwa 100%, nilienda kalambo(wilaya mojawapo ya mkoa wa rukwa), aiseee kila ukikutana na msichana mwenye umri kuanzia 20+ ni ana mimba au mtoto mdogo.
Haha sure mkuu, huku watoto wa 2000 wana watoto 2+ kuna kijiji kinaitwa Kisumba, kuna watoto ni utitiri. Watu wanazaana mbaya.
 
Akili kama za mwendazake hizi! Hivi Tanzania ukilinganisha na Australia ni ipi yenye eneo kubwa? Na ni ipi yenye idadi ya watu wengi?

Ni nani anayepokea msaada kutoka kwa mwingine?
Tanzania hatuna overpopulation, eneo ni kubwa sana lisilokaliwa na watu kuliko kwenye watu hatujawafikia hata wachina
 
Aliyezaa 10 na akazika wote unasemaje?
 
Siamini kama Dunia haitoshi, maana Kuna mapori yamejazana hayakaliwi na watu...
 
Uzidhani wazungu wamelala kiasi hicho, kama walikuletea Panadol hawashindwi kukuletea viangamizi. Mwarabu amekuletea nini zaidi ya dini

Angalizo: Mwenye maarifa ndiye atakayedumu kwenye hii dunia
Ndo maana Waarabu wanasema baada ya miaka 50 ijayo, kuna asilimia kubwa Uingereza itakuwa dola yao..
 
Uzazi umepungua mijini, vijijini na mashambani, kazi iendelee.
Na inaendelea kweli.
Haha sure mkuu, huku watoto wa 2000 wana watoto 2+ kuna kijiji kinaitwa Kisumba, kuna watoto ni utitiri. Watu wanazaana mbaya.
Daah, nilitembelea matai, kateka, motochini, kizombwe, kisungamile, msanzi, mambwe, kaseshya na vingine kadhaa aisee hali ni mbaya boss.
 
Te
Hli swal la kuza watoto wchache lipo huko hapa tz tuzae tu m natgemea mwaka ujao niongeze mtoto wa tatu nipate kakiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…