Hebu tuache kuzaana sasa, hali ni ngumu

Kule Kalambo mbona mbali sana yaani mpaka upande MAJINJA na vile vi-HIACE vya NGALINDA,,,, pitia hapoa TANDIKA AZIMIO uone mtoto kambeba mtoto waliyezaa na mtoto mwenziwe...
Aisee๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Eti Mtoto kambeba mtoto aliezaa na mtoto mwenzie.
 
Huu ni ukweli kwa 100%, nilienda kalambo(wilaya mojawapo ya mkoa wa rukwa), aiseee kila ukikutana na msichana mwenye umri kuanzia 20+ ni ana mimba au mtoto mdogo.
Nasikia mpaka ikapewa jina " .... Ya watotto!" Starehe yao kuu ni ngono na gongo
 
Serikali kupitia rais alietangulia, ilihimiza watu kuzaa, na agizo hilo halijatenguliwa.
 
starehe ya sisi maskini ni kujaamiiana na ndiyo maana Muumba kaiweka kuwa sawa - haijalishi wewe ni tajiri ama maskini, uwe umekula birian kuku ama mimi ndondo kabechi utam sawa sawa... Watoto wengi kwa sisi maskini wanaleta faraja, masuala ya watakula na kuvaa nini, matibabu, ada, malazi hayo mwenyezi Mungu atatoa riski - maana riski ipo mafungu saba.

Tuacheni tuzaane, tukose hela tukose na watoto - hapana aisee !!
 
Huu ni ukweli kwa 100%, nilienda kalambo(wilaya mojawapo ya mkoa wa rukwa), aiseee kila ukikutana na msichana mwenye umri kuanzia 20+ ni ana mimba au mtoto mdogo.
Uzazi umepungua mijini, vijijini na mashambani, kazi iendelee.
 
๐Ÿ‘๐Ÿพ-๐Ÿ‘๐Ÿพ-๐Ÿ‘๐Ÿพ for your avatar picture!.
 
NNime
Nimesoma comments lakin naona wengi wanongea kwa kijifurahisha ila nimeelewa unachokizungumza. Watu wanachukulia Ni masihara ila kuzaa bila mpangilia ni shida kwa nchi hasahasa Kama hutaweza kuwahudumia. Unakuta unazaa watoto watano au saba na hauna uwezo wa kuwahudumia, watoto wanalia njaa wakati wote au vibaya zaidi wanaranda mitaani wakiomba omba unadhani hii ni haki. Huu ni ukiukwaji wa haki za watoto. Au wengine wana zaa na kuwatupa chooni au jalalani au kuwaacha tu vituo vya watoto yatima, Sasa ndo Nini.
Nadhani hata hao vingozi wanaosema hivyo hawana fikra, kwasababu maisha yao yako vizuri hawajali upande wa pili.
Kwahiyo ndugu zangu, hukatazwi kuzaa Sana, ZAA.
Lakini hakikisha wakati unapoamua kuzaa sana, uwe na uwezo wa kuwalisha, kuwasomesha na kuwahudumia Watoto hao. Na sio kuwatesa viumbe vya Mungu.

Karibu Upige kura kwenye nakala zangu pia๐Ÿ™
 
Nasikia mpaka ikapewa jina " .... Ya watotto!" Starehe yao kuu ni ngono na gongo
Mkuu ni hatari sana aisee, yani kuna uwanja wa mpira wanaita "motochini" siku ya match watoto ni wengi kuliko watu wazima na vijana pale uwanjani.
 

Tadhali sana sema kwa nafasi yako upunguze kuzaliana,binafsi yangu naombea sana nipate japo watoto 12
 
Tanzania hatuna overpopulation, eneo ni kubwa sana lisilokaliwa na watu kuliko kwenye watu hatujawafikia hata wachina
Akili ndogo unazani hili bango ni kwa ajili ya watanzania tu, kwa hiyo badala ya kuchukua tahadhari unataka tuwe wengi iwe tabu hapa nchini.
Hivi huoni wasukuma wanavohama na mifugo yao kuja kwenye malisho?
Wameharibu nchi yao kwa mifugo, kilimo na kukata mikaa hovyo, sasa wameharibu nchi yao wanavamia maeneo mapya wazidi kuharibu nchi.
 
Kuna watu nawaona humu akili zinapotea na hawana cha kuzungumuza, huwezi kumpangia mtu asizae kisa ni masikini ili hari unapanua domo lako ukiwa Duniani, je ungekuwa kiunoni kwa baba yako ungeijua hata hii JF.
๐—จ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ด๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜‚ ๐—ท๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ, ๐˜€๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ