sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,272
- 7,871
- Thread starter
- #21
Mbona me mwenyewe ni mrefu na mweusi tii , sema na matege ya kurudi nyuma , sijui upo tayari..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu...!