Hebu Tia neno kwenye hii picha

..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu...!
Mbona me mwenyewe ni mrefu na mweusi tii , sema na matege ya kurudi nyuma , sijui upo tayari
 
Naona man kaolewa sio kaoa
naijatwittersavages-20190706-0002.jpeg
 
Hahahahahaah! Umetisha saana aisee.
Inabidi siku ya kurudi Rwanda nikupeleke kabisa ukajichagulie mwenyewe!
..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu...!
 
Hahahahahaah! Umetisha saana aisee.
Inabidi siku ya kurudi Rwanda nikupeleke kabisa ukajichagulie mwenyewe!

😅😅..Nilishapanga Dec naenda Rwanda😊😊...ss nielekeze nifikie wapi😊😊..ila Kahama wamejaa balaa...ngoja niwadangie tu sina namnaaaa💃💃💃💃
 
Huyu jamaa mwenye mke, familia ya pk itakuwa ina mcontrol kama mbuzi, yaani huyu jamaa na familia yake watakuwa wanaulinzi kutoka kwenye vikosi vya ujasusi vya pk... Hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom